Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Mwanamke anaweza vumilia umasikini WA baba yake na sio wa mume wake,
Wanawake wengi wakipata kipato au umaarufu Cha kwanza wanakimbilia kuzibomoa familia zao
 
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.
Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-
Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili.

Huyu dada kavamiwa na kuwezwa na roho ya udanganyifu (spirit of deception). Kitendo cha kuachana na mumewe ili akaanzishe Kanisa ni ishara kwamba kavamiwa na kuwezwa na roho ya udanganyifu.

Romans 16:18 "For such people are not serving our Lord Christ, but their own appetites . By smooth talk and flattery they deceive the minds of naive people."

2 Timothy 3:13 "while evildoers and imposters will go from bad to worse, deceiving and being deceived . Mtu asiyeimudu ndoa yake na familia yake hafai kuwa Mchungaji wa Kanisa la Mungu. Maana kama umeshindwa kui-care nyumba yako, utawezaje kuchunga Kanisa la Mungu - 1 Timothy 3:2-5 .

Kwa wababa wachungaji , Kila siku excuse, nimechoka niko katika maombi ya siku 40. You can only play those tricks km mkeo siyo kijana. Akiwa 20-54 unajitafutia divorce. Bora hata huyu kasema families nyingi wanaishi pamoja but wako divorced because there is no consummation.
Tendo la ndoa ndio starehe ya juu kabisa Mungu amempa mwanadamu. Ikiwa Mwanamke ameshaonja alafu eti aseme anaacha anataka kufanya huduma , sijui atoe nyimbo then akishapata hela, akala, akaba, akawa na jumba starehe ya juu kabisa[kileleni] nani atampandiisha?
Tusidanganyane ndugu, hakuna huduma, hakuna kitu kinaitwa singo mother, mjedede kila mti ambaye ameshaonja anautaka na ni uzinzi tu unaendelezwa badala ya watu kutulia kwenye ndoa.
 
We mpuuzi nini? Si angesema kakimbia ndoa kujinusuru? Wapi alienda kushitaki kuwa ndoa yake inahatarisha maisha yake? Umekazana kutetea mpuuzi
 
Mume wake ana shuguli gani

You mean alokuwa mume wake au sio?!

Nasikia ni Mchungaji.
Nasikia zamani alikuwa akifanya kazi TRA badae akaamua kuacha ili amtumikie Mungu.

Sasa ukute uchungaji wenyewe sio ule wa kuwa na waumini wengi kiasi kwamba hata sadaka Pengine ni mashaka.

Sasa ukute mwanamke alishazoea mume alipokuwa TRA wanabadilisha mboga , sasa gafla kuwa Mchungaji labda hali ya uchumi imekata.
Na Pengine nje kuna mtu amekuwa akimwimbishwa labda,
Mungu anisamehe kama nakosea,
Nisimshuhudie uongo Mtumishi wa Mungu.

Halafu umri nasikia wamepishana sana.

Nasikia alokuwa mumewe mpoleee very gentleman.
 
Alichosema Ni sahihi. Je wewe unaweza kuishi na mke ambaye muda mwingi anashughulika na mambo ya kanisa? Kama huwezi yupo sahihi
 
We mpuuzi nini? Si angesema kakimbia ndoa kujinusuru? Wapi alienda kushitaki kuwa ndoa yake inahatarisha maisha yake? Umekazana kutetea mpuuzi

Sasa hasira za nini?
Don’t personalize things wewe πŸ˜†πŸ˜†

Relax.

Punic is for immatured persons.

Are you one of them? πŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈπŸ˜€
 
Alichosema Ni sahihi. Je wewe unaweza kuishi na mke ambaye muda mwingi anashughulika na mambo ya kanisa? Kama huwezi yupo sahihi
Ndugu, Christina Shushu ndio hataki kusumbuliwa yeye anataka mambo ya kanisa na kuimba tu, inaonekana hataki mjedeje!
Yeye ndio kamkimnbia mume, kumbuka mume wake ni mchungaji na Shushu naye kao ndoaka na kufungua kanisa lake .
 
Wachungaji wengi kipato duni.uenda ni ishu za kiuchumi.
Wanawake hawapendi wanaume wastaarabu au walokole
 
Sasa hasira za nini?
Don’t personalize things wewe πŸ˜†πŸ˜†

Relax.

Punic is for immatured persons.

Are (you) one of them? πŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈπŸ˜€
 
Dhambi moja huendeleza zingine.

Achukue mzani ajipime kisha ajirekebishe arejee kwa mumewe
 
kama kawaida yetu mwimbaji akipotoka tunatupa nyimbo zake na kuzifuta kwenye simu zetu
Huyo hajapotoka huyo kajaaa jeuri Mungu anasema mke na mme ni mwili mmoja yy anasema hakuna kitu kama hicho si jeuri za uzima sasa ili asiharibu familia unafulitilia mbali upuuzi wake mpaka youtube una mblock hata unafiki wake ajisikilizishe mwenyewe
 
hakuna kitu tapeli tu kama zumaridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…