Huyo siyo Mungu wa wa Kristo....Kila mtu huitwa kivyake...
Sio lazima wawe pamoja...
Ikumbukwe Kila mtu hapa Duniani anakazi ambayo amepewa na Mungu kufanya.
Ndoa ni mambo ya Duniani tu.
Hizo ni flavour za wasiojielewa.
Mungu ana utaratibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo siyo Mungu wa wa Kristo....Kila mtu huitwa kivyake...
Sio lazima wawe pamoja...
Ikumbukwe Kila mtu hapa Duniani anakazi ambayo amepewa na Mungu kufanya.
Ndoa ni mambo ya Duniani tu.
Kwani ndoa huwa zinavunjika kwa KIBALI?Hivi wewe unaijua nia na madhumuni ya WAWATA? Mbona mnapayuka msiyo yajua.....
WAWATA ni walezi wa kanisa na mara nyingi wamepewa kazi ya kuwalea vijana wa kiume wenye miito hasa ya upadre ndio maana wana majitoleo mengi kwenye hizi shule za mapadri.
Kwenye kanisa katoliki hamna mwenye kibali cha kuvunja ndoa hayupo si WAWATA, UWAKA au Padri.
Kwani zinavunja kwa kitu gani?Kwa mtizamo wako......Kwani ndoa huwa zinavunjika kwa KIBALI?
Hivi binadamu ambaye mmekutana ukubwani mtakuwaje mwili mmoja sijui, khaa, hii dhana huwa naishangaa kweli. Ila watakuambia ni mambo ya rohoni.Technically dini ni Kwa Ajili ya wajinga ila Zina Msaada Kwa Serikali,kuleta utulivu wa jamii na mfumo wa ulaji Kwa wajanja ila Kwa sisi wenye akili tunajua no Utapeli 🤪🤪
Hakuna cha hela wala nini. Tabia ya mtu. Kuna darasa la saba kibao nawajua na hawana adabu kwa waume zao. Wengine wameachika kibao sababu ya kukosa adabu. Ukiona mtu hana unyenyekevu sababu ya hela hiyo ni tabia yake halisi.Wenye hela hasa ke huwa sio wanyenyekevu kabisa
Kitenge ana migoma minne anaipiga pumbu kila siku lakini haridhiki hata kidogo; anatamani aoe wanawake wote waliopo nchini labda ndio watamtosha. Mbwa sana yule jamaa.
Kudanga tu hana jingine, sababu alizotoa ni very cheap.Ndoa kama wakristo mnavyodai ni muunganiko wa mtu mume na mtu mke ili kuwa mwili mmoja. Hivyo huyo Shusho na mumewe walikuwa mwili mmoja na ndoto zake zilitakiwa ziwe ndio za huo mwili mmoja (ndoa).
Sasa kama ni mkristo anaetambua hilo basi kusema alimuacha mumewe kufukuzia ndoto zake ni utapeli wa hali ya juu huu.
Atupe sababu nyingine. Asitulaghai sisi wenye akili.
...🙄🙄🙄....?Kipindi yupo na mume wake, mume aliumwa sanaa, watumishi wenzake wakamuombea ikagundulika Christina anataka kumtoa mume wake kafara
Akaulizwa akakana... mume akapona ndoa ikaendelea, alikua ni mwizi kwa mume wake
Ametembea sana na waumini wa kike kanisani kwa mume wake
Kazibukia ujana ukubwaniShusho alishajitafuta akajipata so kubanwabanwa sio sehemu ya maisha yake,kazi kwetu wakina siee wafia ndoa huku ndani maumivu matupu
Maendeleo gani na wewe hebu acha upashukuna. Mtu anataka akatombwe nje na mboo mpya we unasema maendeleo? [emoji848]Wakati mwingine sisi wanaume ni kikwazo cha maendeleo ya wanawake zetu.
MUNGU hakuwahi kuongea na mwanamke moja kwa moja ni aidha amtumie kama daraja kumfikia mwanaume wake au atamkutanisha na mwanaume kisha kazi iendelee.Hamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..
Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...
Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...
Unayatazama maisha kama ajira ndio maana hauwelewi hata purpose ya kilichokuleta duniani kama mwanamke. Msiba mzito sana huu.Yote hayo mwanaume anayafanya sababu kuna vitu anavipata toka kwa mwanamke, kama kutimiziwa baadhi ya majukumu ya nyumbani, kulelewa watoto pamoja na kupewa heshima na utii, kabla hamjawajudge wanawake jiulizeni wakifanya hayo mnayofanya wanapata nini au mnawapa nini, hata wanaume wenyewe tu hawawezi kufanya hayo kama hawapati kitu in return sembuse wanawake