Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameanza kupigwa taratibu.Sasa ameshaingiliwa na Ibilisi la tamaa, jeuri na abaya yote.
Huyu Christina Shusho aombewe.
Dahhhhh??umeongea kwa uchungu sana mkuu,pole sanaNi bahati mbaya sana hapa duniani kila mtu amekuja na karama yake (talanta) ambayo Mungu amekuumba nayo kwa kuifaidisha dunia hii. kama hautaitumia, au kama utaitumia vibaya, ipo siku kila mtu atatoa hesabu na kuhukumiwa sawasawa na namna alivyoishi hapa duniani kwa kile Mungu aliweka ndani yake. hii ndio sababu sio sisi wote waimbaji, hata tukijitahidi kuhubiri sio wote tunaweza kuhubiri sawa, Mungu ameweka kipawa kwa kila mtu kwa faida. ni sawa na gari, usukani una kazi yake na hautakiwi kuidharau breki, tairi zina kazi yake na zinahitajiana na injini n.k, kama una gari tairi zikawa zimepasuka hata kama ulizinunua, ni kuzing'oa na kuzitupa, ila haimaanishi kwamba hizo sio tairi, ni tairi ila zilizopasuka tofauti na vile ulivyotegemea ulivyozinunua, utanunua mpya na kufanya replacement. hiyo ndio hukumu yake.
Mungu amsaidie shusho, hakuna ubishi kwamba kwa wale wanaoijua historia yake ametoka very humble background, ni Mungu amemtoa toka kuuza nyanya na ndizi za kupanga barabarani na kutembeza karanga, (kwa mujibu wa maneno yake), kwa kipawa kile cha uimbaji, Mungu alimwinua hadi akawa hivyo alivyo. nilimsikia akisema kwamba anaijutia ndoa yake kwasababu aliolewa akiwa mdogo, hakuolewa akiwa na akili zake vizuri, ni kama Joyce kiria aliposema aliolewa miaka 8 na yule dj kwasababu alikuwa na shida na pesa ila hakumpenda dj. hili ni pepo moja limeingia wanawake wengi sana. imagine, alipokuwa anauza nyanya aliomba Mungu ampe mume, akampa tena mfanyakazi akamtoa kigoma huko akamleta dsm, akamsaidia akawa mwanamuziki, sasaivi amepata ameoga, anasema anajuta kuolewa akiwa hana umri wa kutosha. sawa na joyce kiria, alikuwa housegirl, akapanga alipiishia hela ya kodi na matumizi akaolewa na DJ, akakaa naye miaka 8 bila kumzalia kwa makusudi ati kwasababu alikuwa hampendi, aliolewa naye ili apunguze ugumu wa maisha, akaja kuachana naye kwa tarumbeta na msafara wa magari, kwa kumuaibisha kabisa, akapata talaka akaendelea kumwaibisha kwenye matv na mitandaoni. hawa ndio wanawake wa kisasa. mwanaume hajawahijibu, sawa na mchungaji shusho hajawahi jibu.
Enzi hizo mchungaji shusho alikuwa mfanyakazi mwenye pesa za mshahara, inasemekana wametofautiana miaka kumi na kitu kiumri, na kwa sasa bila shaka amezeeka na anaweza asimudu mahitaji? NO, hiyo isingekuwa sababu, kwasababu hata wanandoa wenye miaka 30s mmoja huwa anaweza kuugua au kupata ajali, ila wanavumiliana, kwenye ndo ausitegemee kwamba mtakuwa fit miaka yote. sisemi mchungaji sio fiti, NO, najaribu kuwaza kitu gani yule mchungaji amekosea hadi huyu anarukaruka na kina diamond namna hii, na yule kijana alishoot naye kenya alikokaa miezi kibao alimtolea shutuma nyingi kwamba alikuwa anamtaka, na alitoa shutuma kwamba anamloga. ziwe za kweli au sio za kweli ila kwa anayoyafanya nani asiamini allegations hizo?
shusho alikuwa na Mungu kabisa awali, na nyimbo zake zilikuwa za Mungu kabisa, ila amekengeuka, shetani amemwingia, kiburi cha pesa kimemjaa, alipokuwa Burundi akirekodiwa alisema alitoka kwao masikini ila alirudi kwao kwa ndege na akiwa na pesa ya kutosha bank. wanawake wengi wakipata huwa akiri zinawaruka, hapo amesahau yote mchungaji shusho alimfanyia, jinsi alivyovumilia kuoa mwanamke wa hali yake, akampa msaada hadi akawa mwanamziki akajulikana, sijawahi msikia ameappreciate hata siku moja.
NI hasara sana na huzuni katika kanisa. hata hivyo Mungu anampenda, anatamani arudi, na nafasi bado ipo, na afanye hivyo mapema kabla nyundo ya kuvunja tufe la kiburi haijashushwa, hakuna aliyeinua mabega kwa kiburi akasahau fadhili za Mungu aliyedumu, wote huwa wanaishia pabaya na kwenye majuto na kila mtu ataona ili iwe funzo kwa wengine. simuombei hayo ila historia kwenye Biblia inaonyesha hivyo, the more unaleta disgrace kwenye kanisa kwa kiburi baada ya Mungu kukufanikisha, the more unatengeneza mazingira ambayo utashushwa hadi chini hadi wote wajue ni Mungu amekushusha kwasababu ulimsahau. Mungu amsaidie.
kwa matendo yake anayofanya tangu kitambo, ni watu wangapi waliorudi nyuma kwa kumwangalia yeye kama kioo? kipawa chake cha uimbaji ambacho Mungu alimpa kilifanya wengi wamjue Mungu, kati ya hao ni wangapi wamerudi nyuma kwasababu yake? Hivyo kipawa chake cha uimbaji kimemwinua Mungu au kimefanya watu walitukane Jina la Bwana? hicho kipawa amepewa ajue ni dhamana, sio kwa aajili yake binafsi, ni kwa ajili ya kazi ya Mungu hivyo asilete hisia zake binafsi ambazo wakati anauza nyanya huko kijijini kwao sijui kigoma sijui wapi huko, hakuwa nazo na hakuota kama angekuja kuwa na kiburi cha aina ile. pia, ni wanawake wangapi wanafuata matendo yake na ndoa kuharibika na watoto kuwa bila familia kwasababu yake? ajue yeye alipewa kipawa hicho awe kioo na barua watu wengine wamsome na kumfuata Mungu, Joyce kiria tu amerudisha ndoa nyingi sana nyuma kwa ujinga wake walikuwa anausambaza channel ten, huyu pia ataharibu ndoa nyingi, wanawake wengi watamwiga na ni hasara kubwa sana.

Naomba kuuliza jina la SHUSHO ni ubin kutoka kwa babayake mzazi au kutoka kwa aliyekua mme wake ambae kwasasa ameachana naye???Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Dada unaonekana uko deep katika maandiko,kuna jamaa moja aliwahi nisihi kua endapo unataka kuingia kwenye ndoa tambua uhuru wako unautia mashakani ,kimsingi ukitaka kuingia kwenye ndoa aidha mambo flani kama hayo ya utumishi wa Mungu utalazimika kuachana na mambo kibao yakwako binafsi ili utumike ndoa au Dini....sasa mwenzetu Christiana amechagua uhuru binafsi namda huohuo anataka uchungajiHamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..
Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...
Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...
Shusho ni jina la mume wake wa zamani. Sasa hilo ni jukumu la mume wake wa zamani (Shisho) au mume wake wa sasa (Diamond) kusitisha matumizi ya jina hilo.Naomba kuuliza jina la SHUSHO ni ubin kutoka kwa babayake mzazi au kutoka kwa aliyekua mme wake ambae kwasasa ameachana naye???
sioni kama nimeandika kwa uchungu, ila nimeandika kwa reality ilivyo.Dahhhhh??umeongea kwa uchungu sana mkuu,pole sana
Mkuu umeongea vizuri sana. Lakini kama atarudi kwa mume wake wa zamani malengo yake yatatimiaje? Huoni kwamba malengo yake yatakwama?sioni kama nimeandika kwa uchungu, ila nimeandika kwa reality ilivyo.
WAEBRANIA 10:31 IMEANDIKWA: Ni jambo la kutisha kuanguka mikononi mwa Mungu aliye hai.
tunamuombea, na kumsini arudi. ni kondoo aliyepotea hatutakiwi kumchukia wala kumtakia mabaya, tunamwombea kwa Mungu amsaidie arudi kwenye zizi.
Kwani suala la kulea watoto ambalo umesema ni la wanawake halihusishi gharama zozote? Kama linahusisha gharama, basi hakuna tatizo kwa mwanamke kuchangia gharama za kuendwsha familia.Kiuhalisia wanaume hasa wa kizazi hiki ndio hamuelewi purpose ya kilichowaleta duniani kama wanaume ndio maana kutwa mnashindana na wanawake kwenye jukumu la kuhudumia familia, mwanaume anayejua wajibu wake suala la kuhudumia familia siyo la kujadiliana kama ambavyo mwanamke hajadiliani na ninyi kwenye suala la kulea watoto, kitendo cha wanaume kutaka kushindana na wanawake kinaonesha ni jinsia gani imefeli zaidi katika nafasi yake
Hapana kulea watoto kunakomuhusu mke ni kwa hali na siyo kwa mali mwanaume ndio anatakiwa kulea watoto kwa mali, mkitaka wanawake waanze kulea watoto kwa both hali na mali basi na wanaume mkubali pia kulea watoto kwa both hali na mali, halafu mimi kwenye hiyo comment yangu sikumuongelea shusho nilimquote huyo jamaa aliyesema wanawake hawaelewi purpose ya kilichowaleta duniani hapaKwani suala la kulea watoto ambalo umesema ni la wanawake halihusishi gharama zozote? Kama linahusisha gharama, basi hakuna tatizo kwa mwanamke kuchangia gharama za kuendwsha familia.
Back to the theme of the thread, Shusho amemuacha mume wake kisa akatimize malengo yake. Je, amekuambia moja ya malengo hayo ni kukusanya sadaka ili apate fedha za kutunzaa familia? Kwamba mume wake wa zamani alikuwa hatimizi vizuri jukumu lake la kutunxa familia?
Kati ya Christina na SHUSHO nadhani utambulisho (Brand) yakeke kubwa ni hilo jina la SHUSHO ,nadhani aache kutumia Atumie la Christina tuone.Shusho ni jina la mume wake wa zamani. Sasa hilo ni jukumu la mume wake wa zamani (Shisho) au mume wake wa sasa (Diamond) kusitisha matumizi ya jina hilo.
Dah aisee amezingua ila nyimbo zake nzuri kweli nzuri uongo mbaya nitaendelea tu kumkubali kwenye kazi Zake nzuri Sana shusho sio Jina dogo kwenye gospel tracks
Kumbe shusho ni la mume?Kati ya Christina na SHUSHO nadhani utambulisho (Brand) yakeke kubwa ni hilo jina la SHUSHO ,nadhani aache kutumia Atumie la Christina tuone.