Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Sasa ameshaingiliwa na Ibilisi la tamaa, jeuri na abaya yote.
Huyu Christina Shusho aombewe.
Ameanza kupigwa taratibu.
 
Dahhhhh??umeongea kwa uchungu sana mkuu,pole sana
 
Dahhhhh??umeongea kwa uchungu sana mkuu,pole sana
 
Dahhhhh??umeongea kwa uchungu sana mkuu,pole sana
 
Naomba kuuliza jina la SHUSHO ni ubin kutoka kwa babayake mzazi au kutoka kwa aliyekua mme wake ambae kwasasa ameachana naye???
 
Hamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..

Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...

Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...
Dada unaonekana uko deep katika maandiko,kuna jamaa moja aliwahi nisihi kua endapo unataka kuingia kwenye ndoa tambua uhuru wako unautia mashakani ,kimsingi ukitaka kuingia kwenye ndoa aidha mambo flani kama hayo ya utumishi wa Mungu utalazimika kuachana na mambo kibao yakwako binafsi ili utumike ndoa au Dini....sasa mwenzetu Christiana amechagua uhuru binafsi namda huohuo anataka uchungaji
 
Naomba kuuliza jina la SHUSHO ni ubin kutoka kwa babayake mzazi au kutoka kwa aliyekua mme wake ambae kwasasa ameachana naye???
Shusho ni jina la mume wake wa zamani. Sasa hilo ni jukumu la mume wake wa zamani (Shisho) au mume wake wa sasa (Diamond) kusitisha matumizi ya jina hilo.
 
Dahhhhh??umeongea kwa uchungu sana mkuu,pole sana
sioni kama nimeandika kwa uchungu, ila nimeandika kwa reality ilivyo.

WAEBRANIA 10:31 IMEANDIKWA: Ni jambo la kutisha kuanguka mikononi mwa Mungu aliye hai.

tunamuombea, na kumsini arudi. ni kondoo aliyepotea hatutakiwi kumchukia wala kumtakia mabaya, tunamwombea kwa Mungu amsaidie arudi kwenye zizi.
 
Mkuu umeongea vizuri sana. Lakini kama atarudi kwa mume wake wa zamani malengo yake yatatimiaje? Huoni kwamba malengo yake yatakwama?
 
Kwani suala la kulea watoto ambalo umesema ni la wanawake halihusishi gharama zozote? Kama linahusisha gharama, basi hakuna tatizo kwa mwanamke kuchangia gharama za kuendwsha familia.

Back to the theme of the thread, Shusho amemuacha mume wake kisa akatimize malengo yake. Je, amekuambia moja ya malengo hayo ni kukusanya sadaka ili apate fedha za kutunzaa familia? Kwamba mume wake wa zamani alikuwa hatimizi vizuri jukumu lake la kutunxa familia?
 
Hapana kulea watoto kunakomuhusu mke ni kwa hali na siyo kwa mali mwanaume ndio anatakiwa kulea watoto kwa mali, mkitaka wanawake waanze kulea watoto kwa both hali na mali basi na wanaume mkubali pia kulea watoto kwa both hali na mali, halafu mimi kwenye hiyo comment yangu sikumuongelea shusho nilimquote huyo jamaa aliyesema wanawake hawaelewi purpose ya kilichowaleta duniani hapa
 
Shusho ni jina la mume wake wa zamani. Sasa hilo ni jukumu la mume wake wa zamani (Shisho) au mume wake wa sasa (Diamond) kusitisha matumizi ya jina hilo.
Kati ya Christina na SHUSHO nadhani utambulisho (Brand) yakeke kubwa ni hilo jina la SHUSHO ,nadhani aache kutumia Atumie la Christina tuone.
 
Album ya kwanza tu ndo nzuri
Dah aisee amezingua ila nyimbo zake nzuri kweli nzuri uongo mbaya nitaendelea tu kumkubali kwenye kazi Zake nzuri Sana shusho sio Jina dogo kwenye gospel tracks

Ht ukisikiliza unasikia na nguvu ya Mungu kabisa
Sshv anaimbia kipawa tu hazina tofauti na A diamond
 
Kati ya Christina na SHUSHO nadhani utambulisho (Brand) yakeke kubwa ni hilo jina la SHUSHO ,nadhani aache kutumia Atumie la Christina tuone.
Kumbe shusho ni la mume?
Yaani huyu mwanamke bure kabis
 
Leteni namba zake nataka tufanye maombi na maombezi
 
Nimeanza kuamini aisée,wanawake wakiwa maarufu ,pesa au mamlaka wana raise ego juu nakutaka kumzidi hata aliyewapa nafasi ya kuchanua.kuna maelezo ya kimantic katika maandiko kwann walizuia akina mama zetu wasiwe hata viongozi au kua nafasi za juukatika jamii.kwa upande wangu walikua sahihi sana.ningumu kwa mwanamke kua na either umaarufu,pesa au hata cheo akabaki kua calm and positive.lazima ataleta taharuki tu katika jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…