Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"

View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Swali fikirishi umalaya inamaanisha nini
 
Ndio akome nae Mzee shusho aliona amepata chombo akaamua kuionyesha dunia Kuwa ana mke mzuri matokeo yake amenyooshwa
braza!!! usimcheke mzee shusho kaka!! wanawake wa siku hizi ni "PASUA KICHWA" hamna mwanaume aliye RIJALI mwenye AMANI YA MOYO,,,,mwenye PESA anapigwa MIZINGA ya PESA kila dakika mpaka anastukia kabisa kuwa HAPENDWI ila PESA tu inapendwa!!!! [fuatilia issue ya MAREHEMU bilionea MSUYA}.....tamaa ya mali ilipelekea mauaji ya kutisha kuanzia kwa MSUYA mpaka kwa DADA yake MSUYA,,unaona bwana!!.....matokeo yake kesi ikaisha kama ile mechi ya kombe la DUNIA kati ya ENGLAND na ARGENTINA {MARADONA akifunga BAO LA MKONO}'''okay ukija kwa sisi PANGU PAKAVU,,,,,mkeo anakucheat mpaka unastukia lakini unakausha tu,kwani akiondoka waweza kaa mwaka mzima kila ukitongoza unaishia kusimangwa!! unaona bora ukaushe ingawa wakat mwingine unakuta FIRIGISI yake imelowa kabisa lakini na wewe unaamua kuteleza kama KAMBALE!!!
 
Tuanzie kwenye uumbaji;
Mwanamke aliumbwa kwa kutolewa sehemu ya ubavu wa mwanaume [Adam na Hawa],ndoa ya kwanza ilianzishwa hapo, Mungu akaagiza [mwanzo 2;24],.... naye ataambatana na mwenzake,....nao watakuwa mwili mmoja...agizo likakaziwa zaidi [marko 10;9],....alichokiunganisha MUNGU mwanadamu asikitenganishe.
Ni andiko lipi limemuongoza kuivunja ndoa yake kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu?Ni Mungu yupi anayemtumikia,aliyeumba ndoa au anayevunja ndoa?Aliivunja ndoa yake ili akafungue kanisa lake,...-linalo/litakalo mtumikia Mungu yupi?
Ni wakati gani (tangu kuumbwa kwa ulimwengu) Mungu aliwahi kumweka mwanamke kuwa kiongozi wa kanisa/hekalu/sinagogi,kuwa mchungaji/kuhani?Atupe andiko lililo muongoza, kwasababu,hata Yesu Kristo alipokuwa duniani hakuwahi kubatilisha/kubadilisha mpango,sheria na kanuni za Mungu,na kwakulithibitisha hilo,kati ya mitume 12 aliowapa kazi ya kuzunguka ulimwenguni kuihubiri injili,hakuwepo mwanamke.Kiongozi wa kanisa ni mwakilishi wa YESU KRISTO aliye kichwa cha kanisa,.. mwanamke anatoa wapi jeuri ya kusimama madhabauni akiwa ni mchungaji/kuhani?Huku ni kumpinga MUNGU wazi wazi na kumtukuza Shetani/Ibilisi mwenye ajenda ya 50/50[serikalini hadi makanisani],haki za wanawake n.k., na kwakuwa siku hizi makanisa yamegeuka kuwa biashara nzuri,watu hawamhofii MUNGU,bali wanakazana kujikweza wao.
Kwa hiyo,yeyote anayekubaliana na mawazo na maamuzi ya huyu dada,asome maandiko vizuri kisha ajitafakari.
Ongeeni yote lkn tatizo Kwa huyu dada liko wazi ni simple tu amejiona ni mzuri sana haendani na Mzee shusho pia wanaume wengi wenye pesa wanamtongoza madanga kama yote sasa ameona maisha si ndio haya akahama na Kwa Mzee shusho anaishi kivyake kajijengea nyumba yake Ili awe guru Zaid kuyapanga madanga amechoka kupakwa shombo ya kizee na Mzee shusho
 
braza umeonga PHD!!! kongole
 
Amechelewa wkt nyinyi ndo mko bize Kila Leo kumsifu Kuwa ni mzuri
mkuu kwani kila sifa unazosifiwa ni za kweli, uzuri ni mzuri ila umri umemtupa mkono, maana yake huo uzuri wake unachuja, angeanza kusumbua tangu ana miaka hiyo 19 sasa mtu ushazaa, umeshakongoroka ndo uanze usumbufu amechelewa
 
braza!!! usimcheke mzee shusho kaka!! wanawake wa siku hizi ni "PASUA KICHWA" hamna mwanaume aliye RIJALI mwenye AMANI YA MOYO,,,,mwenye PESA anapigwa MIZINGA ya PESA kila dakika mpaka anastukia kabisa kuwa HAPENDWI ila PESA tu inapendwa!!!! [fuatilia issue ya MAREHEMU bilionea MSUYA}.....tamaa ya mali ilipelekea mauaji ya kutisha kuanzia kwa MSUYA mpaka kwa DADA yake MSUYA,,unaona bwana!!.....matokeo yake kesi ikaisha kama ile mechi ya kombe la DUNIA kati ya ENGLAND na ARGENTINA {MARADONA akifunga BAO LA MKONO}'''okay ukija kwa sisi PANGU PAKAVU,,,,,mkeo anakucheat mpaka unastukia lakini unakausha tu,kwani akiondoka waweza kaa mwaka mzima kila ukitongoza unaishia kusimangwa!! unaona bora ukaushe ingawa wakat mwingine unakuta FIRIGISI yake imelowa kabisa lakini na wewe unaamua kuteleza kama KAMBALE!!!
Yeye angemuacha bila kumsomesha Wala kumpeleka studio sasa yeye ndo akajitoa wkt anaona kabisa mwanamke ni mzuri akajifanya kumleta kwenye sekta ya muziki Ili Kila mtu amsifie Kuwa anajua kutunza na kuchagua mke acha akome
 
braza!!! usimcheke mzee shusho kaka!! wanawake wa siku hizi ni "PASUA KICHWA" hamna mwanaume aliye RIJALI mwenye AMANI YA MOYO,,,,mwenye PESA anapigwa MIZINGA ya PESA kila dakika mpaka anastukia kabisa kuwa HAPENDWI ila PESA tu inapendwa!!!! [fuatilia issue ya MAREHEMU bilionea MSUYA}.....tamaa ya mali ilipelekea mauaji ya kutisha kuanzia kwa MSUYA mpaka kwa DADA yake MSUYA,,unaona bwana!!.....matokeo yake kesi ikaisha kama ile mechi ya kombe la DUNIA kati ya ENGLAND na ARGENTINA {MARADONA akifunga BAO LA MKONO}'''okay ukija kwa sisi PANGU PAKAVU,,,,,mkeo anakucheat mpaka unastukia lakini unakausha tu,kwani akiondoka waweza kaa mwaka mzima kila ukitongoza unaishia kusimangwa!! unaona bora ukaushe ingawa wakat mwingine unakuta FIRIGISI yake imelowa kabisa lakini na wewe unaamua kuteleza kama KAMBALE!!!
Tena enzi za kina membe ndo alikuwa anamfanyia makusudi kabisa alitaka apewe talaka Ili amuweke ndani kabisa Kwa lowasa ndo usiseme walikuwa wanamtanguliza Dubai then Mzee lowasa anaenda kumla na huku alijua ni mke wa mchungaji..mwanamke asomeshwi mkuu
 
braza umeonga PHD!!! kongole
Hakuna Cha mapepo wala anguko ni hampendi tena hamtaki Wala hamuhitaji.. hataki hata kusikia jina la mume wake Yan hata Ile ya kuongozana ni hataki..niliona clip Moja walikuwa mlimani city alikuwa anazindua sijui project yake ya Kuwa milionea ndani ya miaka mitano , akaalika marafiki zake alikuwepo lady jaydee na mzee shusho alikuwepo lkn uwepo wa huyu Mzee ni kama vile alinga'ang'ania kuwepo ila hatakiwi kuwepo mdada hayupo confident kukaa karibu nae sasa ikafika muda wa kulishana keki shusho aliwalisha watu wote Kwa upendo na tabasamu kama lote ila ilivyofika zamu ya Mzee shusho alimlisha Kwa hasira sana .. Mzee ndio alikuwa anajipendekeza Kwa bi dada ila hatakiwi
 
DA braza!!!,,"HUYU MWANAMKE HAENDI MBINGUNI"''''yaani anaringia MAITI!! [miili tuliyo nayo ni maiti],,,,,,,yaani kisa maiti yake imefinyangwa vizuri ndo anamtesea mumewe,,alaf anamchezea MUNGU kwa kujifanya mchungaji!!!!!!..."SIKU ZAKE ZINAHESABIKA!!!!"
 
Tena enzi za kina membe ndo alikuwa anamfanyia makusudi kabisa alitaka apewe talaka Ili amuweke ndani kabisa Kwa lowasa ndo usiseme walikuwa wanamtanguliza Dubai then Mzee lowasa anaenda kumla na huku alijua ni mke wa mchungaji..mwanamke asomeshwi mkuu
da!!! ***** wallah!!! mimi huu mwaka wa nne nipo single man!!!!....ok,sasa mzee lowasa alikuwa na maajabu gani zaidi ya kutetema kifuani na kisukari chake!!!.......
 
Ongeeni yote lkn tatizo Kwa huyu dada liko wazi ni simple tu amejiona ni mzuri sana haendani na Mzee shusho pia wanaume wengi wenye pesa wanamtongoza madanga kama yote sasa ameona maisha si ndio haya akahama na Kwa Mzee shusho anaishi kivyake kajijengea nyumba yake Ili awe guru Zaid kuyapanga madanga amechoka kupakwa shombo ya kizee na Mzee shusho
Una namba yake mkuu, nataka nikaisugue sana maku yake..
 
Mbona bado mpya aiseee
emoji39.png
emoji39.png
emoji39.png
emoji39.png
emoji39.png
emoji39.png
tena ana minyama ile, namsugua wiki nzima mamaeh.

Mbona bado mpya aiseee [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] tena ana minyama ile, namsugua wiki nzima mamaeh.
Shauri yako man!!! ata jogoo alikuwa na tamaa kama yako, akakutana na TETEA peace kali kama kristina shusho,matokeo yake alimpiga shoo kali ya muda mrefu mpaka UUme ukafutika,matokeo yake kwa sasa JOGOO ameishia kupiga muhuri tu!!! "UBOO ulishafutika"
 
DA braza!!!,,"HUYU MWANAMKE HAENDI MBINGUNI"''''yaani anaringia MAITI!! [miili tuliyo nayo ni maiti],,,,,,,yaani kisa maiti yake imefinyangwa vizuri ndo anamtesea mumewe,,alaf anamchezea MUNGU kwa kujifanya mchungaji!!!!!!..."SIKU ZAKE ZINAHESABIKA!!!!"
Mungu hakupi vyote ni mzuri ila hakubahatika kuolewana chaguo lake
 
mkuu kwani kila sifa unazosifiwa ni za kweli, uzuri ni mzuri ila umri umemtupa mkono, maana yake huo uzuri wake unachuja, angeanza kusumbua tangu ana miaka hiyo 19 sasa mtu ushazaa, umeshakongoroka ndo uanze usumbufu amechelewa
Mungu hakupi vyote amejaliwa kipaji na uzuri lkn hakujaaliwa kuolewa na chaguo lake
 
Back
Top Bottom