Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Bro!! mala
Mungu hakupi vyote ni mzuri ila hakubahatika kuolewana chaguo lake
ya
Mungu hakupi vyote ni mzuri ila hakubahatika kuolewana chaguo lake
Bro,MALAYA hana chaguo man!!!"anafuata fursa tu,fursa ikipotea anakupoteza man" SAMSON alidanganya DELILA nampenda,kumbe delila alikuwa jasusi la wafilisti!!!,marehemu mchezaji wa YANGA,,,NDIKUMANA,alijiamnisha kwamba mke aliyenae{sitaki kumtaja jina,lakini alikuwa msanii wa kitanzania] alikuwa akimpenda,kumbe wapi,anakuja kustuka mke kaolewa na DOGO JANJA baada ya NDIKUMANA kipaji kuisha na pesa hamna!!! matokeo yake NDIKUMANA akaDANJI!!!<<< kwa sasa nafuatilia mwenendo wa DOMO-KAYA{aziz-mchezaji wa yanga na demu wake msanii wa tz nione mwisho wao}
 
Ninauhakika Christina Hana amani ya nafsi ingawa anaonyesha jamii tabasamu
 
Ninauhakika Christina Hana amani ya nafsi ingawa anaonyesha jamii tabasamu
Huyu dada nampenda sana toka kitambo mkuu hio ni namba yake kweli..nikimpata sitaish nae kama mume wake, kuna namna ya kuish na mwanamke aina ya kristina..
 
Mzee shusho chapa injili uende mbinguni, hicho anachoringia kitaishia kuliwa na nyenyere
Kinaliwa na Diamond mkuu. Huyu bwana anajua sana kudinya wanawake wazuri; hawakatizi kwake.
 
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"

View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Kwahiyo kwenye kanisa lake Habari ya ndoa imekaaje!
Mahubiri yake yanatoka kitabu kipi hicho cha kisasa maana cha zamani ndio kilisema kuhusu mwili mmoja. Kwa mstari huo imeonekana ni cha zamani na hakiendani na usasa wa shusho.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Chap kwa haraka na ndiyo maana huko kuna ndoa za mkeka..!! Binafsi sizipendi. Utaratibu wao mzima wa kufungisha ndoa na urahisi wa talaka unamfanya mtu aichukulie ndoa kimasihara sana..!!

BTW, kuna ndoa za mwezi mtukufu halafu baada ya hapo mtu anaachwa..!!
Hapana,. Taraka haijawa simple kiivyo. Bali inachukuliwa kuwa ni option ya mwisho ndoa inaposhindikana ikiwepo kuepusha vifo Kwa wanandoa (kuuana). Hata kumwambia mkeo nitakupa talaka japo Kwa utani imekatazwa.. hivyo si suala lililoachwa TU kiholeza. Zipo Sheria , taratibu na kanuni juu yake.
 
Vipi mmealikwa kweli?
 
Attachments

  • MANENO_YA_CHRISTINA_SHUSHO_NA_MUMEWE_KWENYE_SEND_OFF_YA_BINTI_YAO_WA_KWANZA_ODESIA_SHUSHO.(480p).mp4
    5.2 MB
Sasa Binti yake alieolewa akiachika kesho mtamlaumu?? halafu wewe kijana ulieenda kuoa huyu binti mama yake mwenyewe hana utulivu utadumu na huoyo mke?? aweza kukuacha mapema ndio mana tunasema oa wake kadhaa hata 4 uwe nao mbona waislamu wanaoa?? usitishwe na maisha oa wake 4 wakianza kusumbua utabakia na mmoja unazeeka nae. Wakristo wametunga suala la uzushi eti mke mmoja fikiria mke mwenyewe ndio huyu sasa!!!!!
 
Huyo anafuata ndoto zake tu mkuu; hafuati maandiko ya biblia.
 
Wapi na nini hii mkuu?
Alhamisi mkuu hiyo clip imevuja tu hata mama hawezi kumpa promo Binti yake hawez kupost hata maana ni aibu kwake kuozesha binti wkt mama mtu bado anataka kudanga..anaolewa na kijana ni mc willygrayson
 
Hongera kwao
 
Attachments

  • Screenshot_20240729-170242_3.jpg
    Screenshot_20240729-170242_3.jpg
    281.4 KB · Views: 7
Back
Top Bottom