Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Anapingana na biblia anayoitumia, lazima kuna shida kwenye circuit
 
Nitaufuata huu ushaur wako..
 
Usichana unamsumbua
Diamond tangu aanze kumdinya, akili zake zimepotea. Anaudhi sana. Diamond akimzalisha mtoto mmoja au wawili huenda akili zitarudi.
 
Ila ukweli mchungu muonekano wa yule mzee shusho hapana kwakwel ingawa mwanaume Hana ulazima wa Kuwa mzuri ila yule Mzee kazidi kamuharibia mbegu kabisa Christina wote wamefanana na baba yao Christina ana haki ya kumuacha tu
 
Hatimaye Christina Diamond Platinumz amemuacha mzee Shusho mazima na kutimkia nchini Kenya milele. Inauma sana jinsi mzee wa watu alivyoachwa bachelor wakati huu anapohitaji mwanamke awe karibu naye kwa ajili ya kumdinya na kumtunza. Wanaume tumeumbiwa kuishi kwa mateso hapa duniani. Mungu anatuona.

Duh! Haya maisha, tuishi kwa imani,maana wote kesho yetu hatuijui itakuwaje! Christina amekengeuka utu uzimani,ni kama vile kuna stage aliiruka!!
 
Duh! Haya maisha, tuishi kwa imani,maana wote kesho yetu hatuijui itakuwaje! Christina amekengeuka utu uzimani,ni kama vile kuna stage aliiruka!!
Huyu mwanamke ana shida ya kisaikolojia. Lakini kwa kuwa bado umri unaruhusu kudinywa, mwache Diamond ajidinyie kwa kwenda mbele.
 
Itakuwa kampata anaempenda huko kenya
 
Anajiona mzuri sana haendani na Mzee shusho
Hiki ndicho kitu hasa kinachomtia uchizi na kumfanya awe na dharau kwa mzee wa watu. Haikubaliki hata kidogo huyu mwanamke kumuacha mume wa ujana wake kisa ni mzee na kumfuata kijana Diamond Platinumz. Anamkosea sana Mungu.
 
Ndio maana Mungu kampiga kofi na uzuri wote alionao watoto wake wote wamefanana na Mzee shusho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…