Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😂😂😂 hatumtetei ila na yy anafata moyo wake. Maisha mafupi sasa kwann akarahishe nafsi kwa vitu vilivyo ndani ya uwezo wake!!?mnamtetea mwenzenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 hatumtetei ila na yy anafata moyo wake. Maisha mafupi sasa kwann akarahishe nafsi kwa vitu vilivyo ndani ya uwezo wake!!?mnamtetea mwenzenu
Beatrice Muhone kafanyaje?Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
kwaiyo msalaba unaousema ww ni kitu kizur cha kuweka kanisan?? na maana yake ni nn ukiweka kanisankumbuka kuwa kuna aina mbalimbali za misalaba ikiwemo hiyo ya masonic. Nenda makaburini utaiona ilivyo na maumbo ya ajabuajabu na ndugu za marehemu hawajui kuwa kuna misalaba ya mason wanaweka tu ili mradi ni msalaba
mond huwa anaopoa pisi kali yeyote anayoitaka ikinasa kwenye anga zake anayo, anakula mpaka anapata mtoto kisha anaacha mbwa yuleKwani Dayamondi anadumu na mwanamke mkuu? Naye ipo siku atambwaga tu kama alivyowabwaga wengine.
hiyo approach ya tina ni ya kihuni hailingani na mtume pauloSizani.
Nafsi yangu inakataa kuamini hata kidogo.
Asingeambatana nae wazi wazi vile ktk hali ya kawaida.
Mwanamke akishatoka kwenye ndoa hata akipata mwendani wake atatoka kwa staha na kificho ktk kujiheshimu.
Diamond ni homeboy wake tu na nia ya kuimba as pale ilikuwa ni njema ktk kuwafikia kundi fulani kwenye jamii ambao wanaenda kwenye matamasha ya Diamond lakini kanisani hawaendagi. Hata Mtume Paulo alitumiaga aproach hiyo pia wakati wa kueneza Injili.
wanaume walio kwenye ndoa wafahamu hiliMwanamke anaweza vumilia umasikini WA baba yake na sio wa mume wake,
Wanawake wengi wakipata kipato au umaarufu Cha kwanza wanakimbilia kuzibomoa familia zao
Asante sikuwahi kulijua hili kablaKAMA SHIDA NI NABII MWANAMKE TU, WAPO.
1. LUKA 2:36 INASEMA; 36 Palikuwa na nabii mke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila ya Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake. 37 Naye ni mjane wa miaka themanini na minne; haondoki katika hekalu, ila huabudu usiku na mchana kwa kufunga na kuomba. 38 Huyu alitokea saa ile ile akamshukuru Mungu, na wote waliokuwa wakiutarajia ukombozi katika Yerusalemu akawatolea habari zake.
2. MKE WA NABII ISAYA; Isaya 8:3 inasema; Ndipo nikamkaribia yule nabii wa kike, naye akapata mimba na baada ya muda akazaa mwana. Mungu sasa akaniambia: “Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi,
3. WAAMUZI 4:4-5 INASEMA; Basi Debora, nabii mke, mkewe Lapidothi, ndiye aliyekuwa mwamuzi wa Israeli wakati ule. 5 Naye alikaa chini ya mtende wa Debora, kati ya Rama na Betheli, katika nchi ya vilima vilima ya Efraimu; wana wa Israeli wakakwea kwake, awaamue.
4. KITABU CHA KUTOKA 15:20 INASEMA; Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
5. All in all, siku hizi za mwisho, Mungu aliahidi kumwaga roho yake kwa wanaume na wanawake pia. YOEL 2:28 INASEMA: Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume kwa wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono;
uimbaji wenye kubadilisha moyo wa msikilizaji ni ule uliohusisha Roho Mtakatifu, yaani Roho ahusike wakati ule unaimba, ni kama vile Roho anaimba kupitia wewe na wimbo au neno lolote utakalotoa huwa lina impact kubwa kwa msikilizaji, hii ndio tofauti kubwa ya waumbaji wa kimwili na wale wanaoimba kwa Roho. sasa kweli unapiga collabo na hamonize muislam anayeamini Yesu Kristo sio Mungu na asiyeokoka na unaamini Roho Mtakatifu yupo pamoja nawe? na kwa shusho, kweli uwe kwenye fungamano moja na diamond wanaoshinda kwa waganga hao na wasiomwamini Mungu waliosambaza tabia chafu hadi kwa watoto wanawaiga, na uamini Mungu yupo pamoja na wewe? ili ukifanikiwa diamond au harmonize wacompete kuchukua utukufu na Mungu,badala ya utukufu kwenda kwa Mungu watu watasema uhusika wa hao wahuni ndio umefanya uibuke au ufanikiwe au vyovyote, mmeingiwa na nini ninyi waimbaji?kwa kuwa yule alimpata harmo na huyu naye akaamua ampate mond, wanajimaliza wenyewe hawa waimba injili tuliozipenda nyimbo zao sasa hatuna hamu nazo, tunawaona ni wahuni tu
Hivi Mungu yupo kweli??? any way kwasababu kutenda mema, kutoa sadaka , fungu la kumi na kuhudhulia kanisani kunanipa amani ya moyo. acha niendelee kuwa hivyo but swala la kuwepo Mungu sidhani.Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
damu changa watamtangaza kuwa amewapaAnatafta damu changa
ni alama tu kwamba Bwana Yesu aliteswa na kutundikwa msalabanikwaiyo msalaba unaousema ww ni kitu kizur cha kuweka kanisan?? na maana yake ni nn ukiweka kanisan
Thus tunaishi nao kama hatuishi nao ili kuepuka kuumia.wanaume walio kwenye ndoa wafahamu hili
Muongeze na Floara Mbasha.Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Sijui mkuuvipi kuhusu martha baraka, ndoa yake ipo salama au naye amekengeuka?
Waefeso 1:18macho ya rohoni yapo kitabu gan ktk biblia?
kwaiyo moyoni ndo rohoni??......moyo na roho ni kitu ki1?Waefeso 1:18
Macho ya mioyo yenu yatiwe Nuru.
Kwanini asingetimiza kwanza ndoto zake ndio aolewe? kama hapendi kuitwa mchungaji kwanini ameanzisha kanisa la nini? na kwakuwa ameanzisha kanisa anapendwa tumuite nani?Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.