General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Embu leta ujanja wako hapa?wachaga washamba sana
Kwetu Umbwee.We utakua ipi?
Taja kabila lako tulijuewachaga washamba sana
Aiseee UCHUMI UMEBANA wewe tangulia tuu bhana MANGIMambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho, Uru, Marangu, Kilema, Machame, Sanya juu, Hai, Kirua vunjo, Old Moshi, Kahe, Upareni, Rombo na maeneo mengine. tusisahau mialiko kwani huu ndo msimu wenyewe wa sikukuu...
Kwa mjini kama kawaida wadau washaanza ingia na burudani ni kama kawaida.
mna nini cha ajabu wazee wa vibamia nyieEmbu leta ujanja wako hapa?
Nyie mnajiona watoto wa mjini, tukija mjin tunawaacha mnazubaa, sisi tumechuma vyetu.
Achana na chagga pipoo!!
endeleeni kulea watoto sio wenu .mnapeleka damu za watu moshi si mpeleke wenu?Taja kabila lako tulijue
Mh maneno yako balaa ujue unaongea kwa jeuri kwa sababu una ushahidi. Baba watoto wako ni mchanamchaga umemfanyia hivyo au?endeleeni kulea watoto sio wenu .mnapeleka damu za watu moshi si mpeleke wenu?
wanajifanya wapo busy kutafuta hela wanaume wanasaidia kwa wake zao wao wanabaki kulea tu .acha walee wazaramo .kizazi pure cha kichaga ifikapo 2080 kitakuwa hamna kabisaMh maneno yako balaa ujue unaongea kwa jeuri kwa sababu una ushahidi. Baba watoto wako ni mchanamchaga umemfanyia hivyo au?
Wewe taja kabila lako hayo mengine siyahitaji, siri ya mtoto anaijua aliyebeba mimba na huenda hata huyo unayemwita baba akawa hata si baba yako halisi ..endeleeni kulea watoto sio wenu .mnapeleka damu za watu moshi si mpeleke wenu?
Uchokodhi thatha huu, hebu njoo inbobo chap bibiemna nini cha ajabu wazee wa vibamia nyie
mkuu mimi naondoka huku tarehe 25 saa sita ucku asubuhi tunakula kisusio hapo marangu mtoni tutakuwa wote.Kapa mringa mono wamaAlready at Marangu, anybody here????πππ
mkuu mimi naondoka huku tarehe 25 saa sita ucku asubuhi tunakula kisusio hapo marangu mtoni tutakuwa wote.Kapa mringa mono wama
Mimi nafanya kazi Moshi na leo kwenye bus kulikuwa na mjadala wa kwamba JPM amebana fedha mpaka Wachaga safari hii wamepungua kweli yaani watakaokuja Moshi hawatazidi robo ya mwaka jana
Kumbe akili inawaza Ngono!!mna nini cha ajabu wazee wa vibamia nyie
Hopeless kabisa huyu bintiKumbe akili inawaza Ngono!!
Ndio maana huishiwi matatizo humu, na papuchi lako suguu.
Achana na huyo mluguru, kichwa mimejaa Ngonoo tuWewe taja kabila lako hayo mengine siyahitaji, siri ya mtoto anaijua aliyebeba mimba na huenda hata huyo unayemwita baba akawa hata si baba yako halisi ..
Taja kabila lako