Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Mambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho, Uru, Marangu, Kilema, Machame, Sanya juu, Hai, Kirua vunjo, Old Moshi, Kahe, Upareni, Rombo na maeneo mengine. tusisahau mialiko kwani huu ndo msimu wenyewe wa sikukuu...

Kwa mjini kama kawaida wadau washaanza ingia na burudani ni kama kawaida.
Aiseee UCHUMI UMEBANA wewe tangulia tuu bhana MANGI
 
endeleeni kulea watoto sio wenu .mnapeleka damu za watu moshi si mpeleke wenu?
Mh maneno yako balaa ujue unaongea kwa jeuri kwa sababu una ushahidi. Baba watoto wako ni mchanamchaga umemfanyia hivyo au?
 
Mh maneno yako balaa ujue unaongea kwa jeuri kwa sababu una ushahidi. Baba watoto wako ni mchanamchaga umemfanyia hivyo au?
wanajifanya wapo busy kutafuta hela wanaume wanasaidia kwa wake zao wao wanabaki kulea tu .acha walee wazaramo .kizazi pure cha kichaga ifikapo 2080 kitakuwa hamna kabisa
 
endeleeni kulea watoto sio wenu .mnapeleka damu za watu moshi si mpeleke wenu?
Wewe taja kabila lako hayo mengine siyahitaji, siri ya mtoto anaijua aliyebeba mimba na huenda hata huyo unayemwita baba akawa hata si baba yako halisi ..

Taja kabila lako
 
1482226944731.jpg
1482226963612.jpg
1482226985748.jpg
1482226997468.jpg
 
mkuu mimi naondoka huku tarehe 25 saa sita ucku asubuhi tunakula kisusio hapo marangu mtoni tutakuwa wote.Kapa mringa mono wama

Aika sana! Inyi ngashika kingoto kyi tar 24 ngiwuya mrinyi😛😛😛
 
Mimi nafanya kazi Moshi na leo kwenye bus kulikuwa na mjadala wa kwamba JPM amebana fedha mpaka Wachaga safari hii wamepungua kweli yaani watakaokuja Moshi hawatazidi robo ya mwaka jana

Hata BUKOBA hivyo, hivyo. Ina maana kwamba ndugu zangu Magharibi na Mashariki ndio vinara wa DILI , TZ[emoji1540].
 
Back
Top Bottom