General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Wewe ni muathirika, kazi kushinda mitandaoni kutapeli watu.wanajifanya wapo busy kutafuta hela wanaume wanasaidia kwa wake zao wao wanabaki kulea tu .acha walee wazaramo .kizazi pure cha kichaga ifikapo 2080 kitakuwa hamna kabisa
NgackokaHopeless kabisa huyu binti
mpuuze huyo mkuu, anatafuta attention kwa ku provoke watuKumbe akili inawaza Ngono!!
Ndio maana huishiwi matatizo humu, na papuchi lako suguu.
huyo amewatega mkaingia mkenge, hata jina lake la miss natafuta ni jina la kutafuta attention, ukipitia uzi zake ni za kutafuta comments huyu atakuwa ni dume linalo hadaa watu kujifanya ni wa kike ili wamtafute baasiAchana na huyo mluguru, kichwa mimejaa Ngonoo tu
Kinu kya mau warimu wakusanyeMnaabudu nashetani wa mizimu yenu
MauwaKwetu Umbwee.
Wewe mama utakuwa wapi?
Karibu kioso Mangi oko!!Nahisi hii JF 1/3 wamejaa wachagga.
Hivi ni wapi ambapo wachagga sio wengi???
Hahahaah
Sitaki matusi mimi.
Kiiboshoo mojaa hiyoooo!!
Yesu ruwa Mangi.Yesu ma maria!!?? Na mie Nita..nitakuwepo eee
We utakuwa mswahili tu MTU wa pwani mnawaza kupigana miti tu! pole sana miss natafuta Mhogo.mna nini cha ajabu wazee wa vibamia nyie
Na wewe rudi Singida kwenu ukatambikeHuwa mnaenda kutambikia i.e., kumuabudu shetani a.k.a kuabudu majini a.k.a mizimu ya mababu zenu.
Namjua vyema ni kavulana kanachojidai kuwa kasichana kumbe hana lolote .. .huyo amewatega mkaingia mkenge, hata jina lake la miss natafuta ni jina la kutafuta attention, ukipitia uzi zake ni za kutafuta comments huyu atakuwa ni dume linalo hadaa watu kujifanya ni wa kike ili wamtafute baasi
Achana nae uyo aisee hata mkulu abane vipi december lazima tukaangushe mbuziNa wewe rudi Singida kwenu ukatambike