Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Ubungo hamna gari za kuja moshi,Ila Ingia kwenye google playstore,download app inaitwa "start my safari" utapata mabasi yote na unalipa online
 
Achana na huyo mluguru, kichwa mimejaa Ngonoo tu
huyo amewatega mkaingia mkenge, hata jina lake la miss natafuta ni jina la kutafuta attention, ukipitia uzi zake ni za kutafuta comments huyu atakuwa ni dume linalo hadaa watu kujifanya ni wa kike ili wamtafute baasi
 
Mliopo Moshi,kuna pahala gani pazuri pa kupiga Kiti Moto na Wari?

Nakuja na ndugu zangu,maeneo ya Moshi Mjini!
Palipo Tulia!

Kwa kipanga pale majengo siku hizi pako waZi?
 
huyo amewatega mkaingia mkenge, hata jina lake la miss natafuta ni jina la kutafuta attention, ukipitia uzi zake ni za kutafuta comments huyu atakuwa ni dume linalo hadaa watu kujifanya ni wa kike ili wamtafute baasi
Namjua vyema ni kavulana kanachojidai kuwa kasichana kumbe hana lolote .. .
 
Back
Top Bottom