Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Watakavokuja na mbwembwe kuushambulia sasa wakati hayo yote ulioandika ni ukweli mtupu, jamaa wanapenda sifa ambazo hawana
Nyie ni wajinga. Hata siku moja wachaga hawajadai wote wanafanya haya jamaa aliyoorodhesha. Hata Ulaya na utajiri wao lakini siyo wote ni matajiri. Hapa naona ni ile ile inferiority complex ya ''watu wa porini'' kwa wachaga inazidi kuwatafuna.
 
Kafata kitimoto huyo hana lolotee[emoji23][emoji23]
Kapelekwa chimbo basi ndo kelele. Au wamemlisha kitimoto waluther wa machame ndo maana kakasirika?
 
Hebu muambie huyo bwana mdogo, kwani kutumia public transport nao siyo Usafiri? si wanalipa nauli tena nauli kubwa msimu huu? lini ilisemwa wachaga hawatumii usafiri wa Umma kwenda Uchagani?
 
Hahahaha hamna lolote,utamaduni wa krismass UCHAGANI Tanzania nzima huwa inatega sikio Kilimanjaro
Ndege zote zimejaa Hadi January 10,mabasi karibu yote yamehamia Kilimanjaro,ma V8 Kama yote huko migombani
Nyie ndege mpaka mpite Zanzibar [emoji1787][emoji1787].

Bukoba ni moja kwa moja na ndege zinajaa

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Ni muongo,ingekua kweli angeweka picha,yaan Kilimanjaro vijijin Ni Kam ulaya
 
Kama kagera ni vichaka. Kwa nini mpaka Leo population density iko juu kuliko hata KLM.
Tena ni mkoa wa tatu kwa density na population?

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Nyie ni wajinga. Hata siku moja wachaga hawajadai wote wanafanya haya jamaa aliyoorodhesha. Hata Ulaya na utajiri wao lakini siyo wote ni matajiri. Hapa naona ni ile ile inferiority complex ya ''watu wa porini'' kwa wachaga inazidi kuwatafuna.
Wacha niwaumbue kwa facts Hadi wakimbie wamekalia propaganda tu mm nawapa fact
 
Anashangaxa Sana atakuwa ameishi kwa wasukuma huko bmulo na ngara.
Hao watu 3 million wanaishi wap kama anasema mapori?

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hayo si mambo ya Geographocal location mkuu? Mbona unabiangusha. Hata ingekua kagera iko kenta ndo imeshakua. Nauli ikiwa kubwa ndo nini sasa? Si kutokana na distance? Na mangarangara yenu[emoji23]
Kama ni distance basi mbeya musoma kigoma rukwa mtwara route ingeongezwa Hadi mara tatu kama bukoba.

Hebu tzm bukoba vijijini palivyo

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Kama kagera ni vichaka. Kwa nini mpaka Leo population density iko juu kuliko hata KLM.
Tena ni mkoa wa tatu kwa density na population?

View attachment 1660217

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kuwa na population density kubwa ndo sababu kusiwepo na mapori? Watu munaishi kwenye vibanda vidogo watu 20 unategemea nn? Hiyo population yenu imeweza changiaje pato la kila kaya huko kwenu?

Halafu sisi hatutegemei kupata riziki sehemu moja. We vaccate we mboriko.
Hakuna tajiri anayeridhika. Tunakuja hadi huko vijijini kwenu hukohuko. Nyie kukaa sehemu moja hiyo hiyo ndo mmeona fahari ndo maana bongolala. Tembeeni mpate exposure. Nimegundua nyie mbaobisha hamjawahi fika hata hiyo same.
 
Kama kagera ni vichaka. Kwa nini mpaka Leo population density iko juu kuliko hata KLM.
Tena ni mkoa wa tatu kwa density na population?

View attachment 1660217

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Jibu Ni simple tu kwasababu kagera ni mkoa mkubwa mno
Licha ya ukubwa wa kagera,haijaizid Kilimanjaro kwa chochote sio gdp,shule, miundombinu [emoji1][emoji1] hushangai?
 
[emoji3][emoji3] eti nyumba za matope, kweli imeshikwa pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…