Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Kwamba mnasumbuliwa? Mnasumbuliwa sababu ya nauli? Come on, you are better than this bwana. Ndege ndo hatupandi ama? Aiseee... halafu kwa kupenda kuchomekea watu wa Arusha ndo wanaopanda ndege[emoji23] mnaujua uchumi wa Arusha nani wameutengeneza? Hao wameru wenyewe ni wamachame waliopooza walihamia huko. Ndege zinapandwa. Binafsi napenda kusafiri kwa basi napata new friends kbs. Na naenjoy. Si kwamba hakuna private cars ama hatuafford hapana. Kwa ndege sioni kama ni adventure. Na watu kwenda kwao ni furaha. Excitements hizo. Hata wewe ukiwa unaenda kijijin kwenu lazima furaha iwepo kama mazingira ni mazuri. Yakiwa mabovu utafurahia nn? Na hapo kumbuka unaenda kukutana na ambao hukuonana nao mwaka mzima mnapishana ktk kupambania maisha.
Hajui kuwa Arusha 80% ya uchuum Ni wachaga?
 
Nmeshamjibu huyo hata huku wahaya wa Mwanza wanasafiri sana kuliko waliopo Dar, the same kwa Wachaga waliopo Dar ukilinganisha na waliopo Mbeya, so factor ya nauli ni muhimu, nipo na mchagga hapa bk amekosa nauli hajaja huko
Kwahiyo mmoja akakosa nauli ndo ugeneralise? Unajua kwamba vidole havilingani? Ongeeni logic basi. And hata waweza kutunga kujustfy tu. Pia ktk maisha kuna kupanda na kushuka. Siwezi kushangaa juu ya hill. Wahaya huwa muna roho za ubinafsi sana wenyewe kwa wenyewe
 
Kwamba mnasumbuliwa? Mnasumbuliwa sababu ya nauli? Come on, you are better than this bwana. Ndege ndo hatupandi ama? Aiseee... halafu kwa kupenda kuchomekea watu wa Arusha ndo wanaopanda ndege[emoji23] mnaujua uchumi wa Arusha nani wameutengeneza? Hao wameru wenyewe ni wamachame waliopooza walihamia huko. Ndege zinapandwa. Binafsi napenda kusafiri kwa basi napata new friends kbs. Na naenjoy. Si kwamba hakuna private cars ama hatuafford hapana. Kwa ndege sioni kama ni adventure. Na watu kwenda kwao ni furaha. Excitements hizo. Hata wewe ukiwa unaenda kijijin kwenu lazima furaha iwepo kama mazingira ni mazuri. Yakiwa mabovu utafurahia nn? Na hapo kumbuka unaenda kukutana na ambao hukuonana nao mwaka mzima mnapishana ktk kupambania maisha.
Utashindwaje kupanda ndege wakati ni hela kama ya basi kwa wengine?? Factor ya umbali ni muhimu ndo maana hapa kuna mchagga amekosa pesa ya basi Lakin angekuwa Dar angeweza hata kupanda ndege
 
Nmeshamjibu huyo hata huku wahaya wa Mwanza wanasafiri sana kuliko waliopo Dar, the same kwa Wachaga waliopo Dar ukilinganisha na waliopo Mbeya, so factor ya nauli ni muhimu, nipo na mchagga hapa bk amekosa nauli hajaja huko
Mchaga hawez kosa 55000 ya kutoka bk- mosh
Kampuni nyingi za mabas ya kuja BK Ni za wachaga pia
Happy national,Osaka, Kandahar,Arusha exp nk
 
Ukiangalia ratio ya makaz unakuta Ni scattered,sehemu chache ndio Kuna mwingiliano Mimi nimekaa miaka 3 kule hasahasa muleba
Kuna sehemu nyingine muleba utadhani upo Sudan kusini mfano kishuro,rutoro
Ndio tuko scattered hatupendi kubanana na kuombana chumvi kama huko kwenu, lakin bado ndo kuna population density kubwa
 
Utashindwaje kupanda ndege wakati ni hela kama ya basi kwa wengine?? Factor ya umbali ni muhimu ndo maana hapa kuna mchagga amekosa pesa ya basi Lakin angekuwa Dar angeweza hata kupanda ndege
Hiyo ni Propaganda Hakuna mtu wa Moshi amekosa nauli hiyo Ni hadithi ya kururahisha hadhira
 
Utofautishe pori na vijiji, uhayani sehemu kubwa ni vijiji vilivyopambwa na migomba au miti Maan hali ya hewa iko vzr, huko hata miti inagoma mpo na jua linawawakia
Nilichojifunza umeamua kuwa layman ili ubishane tu. Baasi ngoja tukuache. Iko siku nitakualika bwana upunguze makasiriko
 
Back
Top Bottom