Kwamba mnasumbuliwa? Mnasumbuliwa sababu ya nauli? Come on, you are better than this bwana. Ndege ndo hatupandi ama? Aiseee... halafu kwa kupenda kuchomekea watu wa Arusha ndo wanaopanda ndege[emoji23] mnaujua uchumi wa Arusha nani wameutengeneza? Hao wameru wenyewe ni wamachame waliopooza walihamia huko. Ndege zinapandwa. Binafsi napenda kusafiri kwa basi napata new friends kbs. Na naenjoy. Si kwamba hakuna private cars ama hatuafford hapana. Kwa ndege sioni kama ni adventure. Na watu kwenda kwao ni furaha. Excitements hizo. Hata wewe ukiwa unaenda kijijin kwenu lazima furaha iwepo kama mazingira ni mazuri. Yakiwa mabovu utafurahia nn? Na hapo kumbuka unaenda kukutana na ambao hukuonana nao mwaka mzima mnapishana ktk kupambania maisha.