Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Huku vijana wamejaa wizi, ulevi, ukabaji sijui unapanic nini wewe mchaga[emoji3][emoji3] umetembea mikoa nane ila mkoa wako hujatembea
[emoji3][emoji3][emoji3] eti walevi ndo wana pesa hiki si kituko!!!! Mchagga akitoka kwenye mkoa wake huyo ndo amejinasua na ulevi otherwise uchaggani atakufa na ulevi. Ngoja tuwaambie waache uongo
 
Basi kama umetembea uhayani utakuwa aware na ninachosema, yaani hakuna jipya ambalo Mhaya atalishangaa uchaggani
Baadhi ya Mambo yanafanana,Ila kagera 60% Ni mapori na vichaka
Kilimanjaro 10% tu ndio misitu tena ya serikali, Kilimanjaro ardhi haiwez kuwa idle
Kilimanjaro licha ya kuwa mkoa mdogo lakini inaongoza kuwa na shule nyingi,kagera na ukubwa wote lakin haifui dafu kwa shule Wala miundombinu
Pia kagera umaskini Ni 40% wakati Kilimanjaro Ni 10% can you differentiate?
Kagera Kuna vijiji Hadi Leo havina umeme wakati Kilimanjaro umeme tangu 70's
Kagera Kuna sehemu chache kongwe ambazo ndio angalau Zina maendeleo Kama nshamba,kamachumu,bunaz
 
Ndege za watalii wa kwenda Arusha?? Alafu mpaka mpitie Zanzibar, nauli tu ya ndege kwenda kwenu ni nauli ya basi kwenda bk, ndege za bk zimejaa mpaka wakaongeza route
Ndege zote za Kilimanjaro zimejaa either ndege binafsi(Kilimanjaro watu wengi wanamiliki kampuni binafsi za ndege)
 
Baadhi ya Mambo yanafanana,Ila kagera 60% Ni mapori na vichaka
Kilimanjaro 10% tu ndio misitu tena ya serikali, Kilimanjaro ardhi haiwez kuwa idle
Kilimanjaro licha ya kuwa mkoa mdogo lakini inaongoza kuwa na shule nyingi,kagera na ukubwa wote lakin haifui dafu kwa shule Wala miundombinu
Pia kagera umaskini Ni 40% wakati Kilimanjaro Ni 10% can you differentiate?
Kagera Kuna vijiji Hadi Leo havina umeme wakati Kilimanjaro umeme tangu 70's
Kagera Kuna sehemu chache kongwe ambazo ndio angalau Zina maendeleo Kama nshamba,kamachumu,bunaz
Na kwa takwimu Kilimanjaro ndo inaongoza kwa kufunga umeme wa REA vijijini, 85% ya vijiji vina umeme, imebaki 15% tu kumaliza vijiji vyote!

Nadhani itapendeza tukianzisha vuguvugu la kujitenga na Tanganyika, maana kilimanjaro na kaskazini kwa ujumla ni ardhi ya wastaarabu hatuwezi kuongozwa na Barbarian Meko wa Chato
 
Baadhi ya Mambo yanafanana,Ila kagera 60% Ni mapori na vichaka
Kilimanjaro 10% tu ndio misitu tena ya serikali, Kilimanjaro ardhi haiwez kuwa idle
Kilimanjaro licha ya kuwa mkoa mdogo lakini inaongoza kuwa na shule nyingi,kagera na ukubwa wote lakin haifui dafu kwa shule Wala miundombinu
Pia kagera umaskini Ni 40% wakati Kilimanjaro Ni 10% can you differentiate?
Kagera Kuna vijiji Hadi Leo havina umeme wakati Kilimanjaro umeme tangu 70's
Kagera Kuna sehemu chache kongwe ambazo ndio angalau Zina maendeleo Kama nshamba,kamachumu,bunaz
Kagera ni mapori??? Kumbe wewe umeishia biharamulo, hivi hujui kwamba Kagera ni ya tatu kwa population density nchini?? Je hao watu wanaishi wapi?? Kumbe ukiona mashamba ya migomba unadhani ni mapori, wilaya tu ya muleba ina watu zaidi ya laki saba, ukitoka muleba mpaka bk mjini zaidi ya km 80 ni makazi ya watu
 
Tungekuwa tumeshuka ripoti isingekuwa inaonyesha 10% ya umaskini
Tunataka Hadi 2022 kusiwe na umaskini kabisa UCHAGANI, umaskini tuwaachie wahaya[emoji1][emoji1]
Yaani wewe unchokisema huna tofauti na uchumi wa kati wa Tz achana na makablasha watu tumefika tukajionea hakuna hicho unchokisema
 
Huku vijana wamejaa wizi, ulevi, ukabaji sijui unapanic nini wewe mchaga[emoji3][emoji3] umetembea mikoa nane ila mkoa wako hujatembea
Wezi wapo dunia nzima,Mimi mwenyewe mwaka 2017 niliibiwa Dola 2000 nikiwa kwenye treni jijini cologne ujerumani
Lete hoja nyingine
 
Ndege za watalii wa kwenda Arusha?? Alafu mpaka mpitie Zanzibar, nauli tu ya ndege kwenda kwenu ni nauli ya basi kwenda bk, ndege za bk zimejaa mpaka wakaongeza route
Sasa hayo si mambo ya Geographocal location mkuu? Mbona unabiangusha. Hata ingekua kagera iko kenta ndo imeshakua. Nauli ikiwa kubwa ndo nini sasa? Si kutokana na distance? Na mangarangara yenu[emoji23]
 
Back
Top Bottom