The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Achana na makablasha watu tumeshafika site tukajionea hakuna jipya ni utopolo mtupuBado nakuona wa ajabu,huwez kutembelea nyumba 5 alafu useme ndio utafiti wa jumla
nimekwambia Mimi naongea kwa fact
Soma jedwali hapo chini linaonyesha viwango vya umaskini vya kila mkoa
Mkoa wa Kilimanjaro una umaskini kwa 10% tu
kagera ina umaskini wa 40% nendeni mkajenge kwenu mpunguze umaskini
Kama unabisha endelea ili nizidi kukuumbua kwa factsView attachment 1660137