Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Ukienda huko uru ndio utakua disappointed kabisa
Hey nataka nikuambie sasa
Mkoa wa Kilimanjaro Ni mkoa wa pili tanzania kwa watu wake kuishi maisha Bora na makazi bora kwa 90% kwa mujibu wa nbs
Tazama jedwali hapo Kilimanjaro kiwango chá umaskini ni 10% tu huoni aibu kuandika utumbo?
812817970.jpeg
 
Wala hakuna haja ya kurushiana maneno... Hali ya hewa Kilimanjaro Ni nzuri Sana na uwepo wa makazi Bora upo pia ardhi yenye rutuba ndio maana Mimi sikuhamisha family Bali nafanya movement za kibiashara nje ya Moshi... Maana naijua dar na Hali ya mazingira ki ujumla.. suala la elimu Kilimanjaro bado iko front Sana so tusiwa ongelee wachagga..Moshi vibaya Kama hujaishi nao karibu. Ila siwatetei wachagga lakn

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tupo pamoja
 
Wewe na mtoa Post wote washamba,huwez kutembelea Familia 5 uka conclude eti utafiti
UCHAGANI kwa mujibu wa shirika la takwimu NBS ,mkoa wa Kilimanjaro Ni mkoa wa pili kwa makazi bora kwa 90% nyuma ya dar 92%
Sasa nyie ni watafiti kuliko nbs?
UCHAGANI ni eneo pekee tz watu wamejenga mno vijijin ndio maana hawaoni aibu kurudi kwao Kama nyie
MTU KWAO
Mkuu usitumie nguvu nyingi kujitetea watu wanatembea na wanaona, mleta mada ametembelea maeneo famous Lakin cha kushangaza amekuta over 90% ni nyumba za kawaida
 
Jamaa wanatumia nguvu nyingi kudanganya watu ambao hawajafika huko ili wawaamini
Mkuu usitumie nguvu nyingi kujitetea watu wanatembea na wanaona, mleta mada ametembelea maeneo famous Lakin cha kushangaza amekuta over 90% ni nyumba za kawaida
Bado nakuona wa ajabu,huwez kutembelea nyumba 5 alafu useme ndio utafiti wa jumla
nimekwambia Mimi naongea kwa fact
Soma jedwali hapo chini linaonyesha viwango vya umaskini vya kila mkoa
Mkoa wa Kilimanjaro una umaskini kwa 10% tu
kagera ina umaskini wa 40% nendeni mkajenge kwenu mpunguze umaskini
Kama unabisha endelea ili nizidi kukuumbua kwa facts

5917205.jpeg
 
Wanatoa povu balaa wakati Mimi nafanya Kazi uru na taasisi inasaidia watoto wenye mazingira magumu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watu wa ajabu sana, na kama hujawah kufika unaweza kuharibu hadi nauli kumbe unaenda kuona utopolo
 
Hata marekani Kuna maskini, Kilimanjaro maskini Ni 10% tu kwa mujibu wa nbs, sasa unabishana na uhalisia? Hizo kaya kumi maskini za uru ndio UCHAGANI nzima? Idiot
 
Back
Top Bottom