Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Wewe na mtoa Post wote washamba,huwez kutembelea Familia 5 uka conclude eti utafiti
UCHAGANI kwa mujibu wa shirika la takwimu NBS ,mkoa wa Kilimanjaro Ni mkoa wa pili kwa makazi bora kwa 90% nyuma ya dar 92%
Sasa nyie ni watafiti kuliko nbs?
UCHAGANI ni eneo pekee tz watu wamejenga mno vijijin ndio maana hawaoni aibu kurudi kwao Kama nyie
MTU KWAO
Nimeangalia.. nimekosa.. naomba link mkuu..
 
Usipanic hata Tz iko uchumi wa kati ingawa watu uchumi hawauoni
Hahaha endelea kujifariji sisi tunasonga mbele maazimio ya vikao vyetu vya mwaka huu Ni kuwa hiyo 10% ya umaskini Hadi kufikia mwakan ipungue kufikia 5% ili mwaka 2022 kusiwe na kiwango chochote Cha umaskini
Nyie endeleeni kucheza AKASIMBO hapo katoma
 
Kwa taarifa yako mnaendelea kushuka maana huko kwenu hamna jipya tena
 
Tanzania ushatembelea mikoa mingapi? Na vijiji vingapi vya hiyo mikoa?
Tanzania nimetembea na kuishi mikoa tofauti zaidi ya 8
Hakuna mkoa wowote unaoufikua Kilimanjaro kwa makazi ya vijijin
Ripoti ya nbs ipo sahihi wale ni professional surveyors sio lay man wenzio
 
Tanzania nimetembea na kuishi mikoa tofauti zaidi ya 8
Hakuna mkoa wowote unaoufikua Kilimanjaro kwa makazi ya vijijin
Ripoti ya nbs ipo sahihi wale ni professional surveyors sio lay man wenzio
Utakuwa umetembelea Lindi na Kigoma alafu upo unajilinganisha nao unafurahi
 
[emoji3][emoji3] Christmas ya uchaggani ni ya matangazo Lakin huku uhayani mambo ni kimya na balaa
Hahahaha hamna lolote,utamaduni wa krismass UCHAGANI Tanzania nzima huwa inatega sikio Kilimanjaro
Ndege zote zimejaa Hadi January 10,mabasi karibu yote yamehamia Kilimanjaro,ma V8 Kama yote huko migombani
 
Tanzania nimetembea na kuishi mikoa tofauti zaidi ya 8
Hakuna mkoa wowote unaoufikua Kilimanjaro kwa makazi ya vijijin
Ripoti ya nbs ipo sahihi wale ni professional surveyors sio lay man wenzio
Huku vijana wamejaa wizi, ulevi, ukabaji sijui unapanic nini wewe mchaga[emoji3][emoji3] umetembea mikoa nane ila mkoa wako hujatembea
 
Tulia uzi ni wa kwenu lakini mtaukimbia ili muache kudanganya watu ambao hawajawahi kufika huko
Huyo alieleta Uzi kupiga propaganda ndio kaukimbia maana anajua kaandika ujinga, sasa hivi anachungulia tu anajuta kwann kauleta
Huwez kupingana na uhalisia,Kama nyeupe Ni nyeupe tu mkuu
 
Hahahaha hamna lolote,utamaduni wa krismass UCHAGANI Tanzania nzima huwa inatega sikio Kilimanjaro
Ndege zote zimejaa Hadi January 10,mabasi karibu yote yamehamia Kilimanjaro,ma V8 Kama yote huko migombani
Ndege za watalii wa kwenda Arusha?? Alafu mpaka mpitie Zanzibar, nauli tu ya ndege kwenda kwenu ni nauli ya basi kwenda bk, ndege za bk zimejaa mpaka wakaongeza route
 
Back
Top Bottom