luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Ni wivu unamsumbuaUmeeleze very general things. Nyumba za zamani zipo. Wachaga si malaika kwamba kila mahali wana nyumba nzuri.
Kuja public transport ni kitu kimekuwa kikifanyika miaka na miaka. Kuja Private cars zimeanza miaka si mingi.
Kama ilivyo sehem nyingine. Si wote wanaweza kuja.. itategemea hao wengine wana majukumu gani.
Either wanaweza wasije hii sikuu.. wakaja siku zingine.
So sioni point ya kuwa overrated hapo. Ni issues za kawaida mabazo wenyeji wanazijua.