Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Watakavokuja na mbwembwe kuushambulia sasa wakati hayo yote ulioandika ni ukweli mtupu, jamaa wanapenda sifa ambazo hawana
Nyie ni wajinga. Hata siku moja wachaga hawajadai wote wanafanya haya jamaa aliyoorodhesha. Hata Ulaya na utajiri wao lakini siyo wote ni matajiri. Hapa naona ni ile ile inferiority complex ya ''watu wa porini'' kwa wachaga inazidi kuwatafuna.
 
Wewe huenda hata Kilimanjaro hujawahi kufika kabisa,

Eti hujaona shamrashamra za waislam wakisheherekea, kwani umeambiwa Waislam hii ni Sikukuu yao, yani uelewa wako mdogo kweli.

Na kote huko ulikozunguka umekosa hata picha ya kuambatanisha na huu upotoshaji wako? Kajipange tena
Kafata kitimoto huyo hana lolotee[emoji23][emoji23]
Kapelekwa chimbo basi ndo kelele. Au wamemlisha kitimoto waluther wa machame ndo maana kakasirika?
 
Umeeleze very general things. Nyumba za zamani zipo. Wachaga si malaika kwamba kila mahali wana nyumba nzuri.

Kuja public transport ni kitu kimekuwa kikifanyika miaka na miaka. Kuja Private cars zimeanza miaka si mingi.
Kama ilivyo sehem nyingine. Si wote wanaweza kuja.. itategemea hao wengine wana majukumu gani.

Either wanaweza wasije hii sikuu.. wakaja siku zingine.

So sioni point ya kuwa overrated hapo. Ni issues za kawaida mabazo wenyeji wanazijua.
Hebu muambie huyo bwana mdogo, kwani kutumia public transport nao siyo Usafiri? si wanalipa nauli tena nauli kubwa msimu huu? lini ilisemwa wachaga hawatumii usafiri wa Umma kwenda Uchagani?
 
Kagera mkoa hauna wahaya Tu la ukijua Hilo.

Meanwhile wahaya kwaoView attachment 1660211

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Karibu UCHAGANI (Israeli)
141162730.jpeg
1809416751.jpeg
 
Hahahaha hamna lolote,utamaduni wa krismass UCHAGANI Tanzania nzima huwa inatega sikio Kilimanjaro
Ndege zote zimejaa Hadi January 10,mabasi karibu yote yamehamia Kilimanjaro,ma V8 Kama yote huko migombani
Nyie ndege mpaka mpite Zanzibar [emoji1787][emoji1787].

Bukoba ni moja kwa moja na ndege zinajaa
FB_IMG_16082016762578105.jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe huenda hata Kilimanjaro hujawahi kufika kabisa

Eti hujaona shamrashamra za waislam wakisheherekea, kwani umeambiwa Waislam hii ni Sikukuu yao, yani uelewa wako mdogo kweli.

Na kote huko ulikozunguka umekosa hata picha ya kuambatanisha na huu upotoshaji wako? Kajipange tena
Ni muongo,ingekua kweli angeweka picha,yaan Kilimanjaro vijijin Ni Kam ulaya
 
Baadhi ya Mambo yanafanana,Ila kagera 60% Ni mapori na vichaka
Kilimanjaro 10% tu ndio misitu tena ya serikali, Kilimanjaro ardhi haiwez kuwa idle
Kilimanjaro licha ya kuwa mkoa mdogo lakini inaongoza kuwa na shule nyingi,kagera na ukubwa wote lakin haifui dafu kwa shule Wala miundombinu
Pia kagera umaskini Ni 40% wakati Kilimanjaro Ni 10% can you differentiate?
Kagera Kuna vijiji Hadi Leo havina umeme wakati Kilimanjaro umeme tangu 70's
Kagera Kuna sehemu chache kongwe ambazo ndio angalau Zina maendeleo Kama nshamba,kamachumu,bunaz
Kama kagera ni vichaka. Kwa nini mpaka Leo population density iko juu kuliko hata KLM.
Tena ni mkoa wa tatu kwa density na population?

Screenshot_20201220-130344.jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Nyie ni wajinga. Hata siku moja wachaga hawajadai wote wanafanya haya jamaa aliyoorodhesha. Hata Ulaya na utajiri wao lakini siyo wote ni matajiri. Hapa naona ni ile ile inferiority complex ya ''watu wa porini'' kwa wachaga inazidi kuwatafuna.
Wacha niwaumbue kwa facts Hadi wakimbie wamekalia propaganda tu mm nawapa fact
 
Kagera ni mapori??? Kumbe wewe umeishia biharamulo, hivi hujui kwamba Kagera ni ya tatu kwa population density nchini?? Je hao watu wanaishi wapi?? Kumbe ukiona mashamba ya migomba unadhani ni mapori, wilaya tu ya muleba ina watu zaidi ya laki saba, ukitoka muleba mpaka bk mjini zaidi ya km 80 ni makazi ya watu
Anashangaxa Sana atakuwa ameishi kwa wasukuma huko bmulo na ngara.
Hao watu 3 million wanaishi wap kama anasema mapori?
Screenshot_20201220-130344.jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hayo si mambo ya Geographocal location mkuu? Mbona unabiangusha. Hata ingekua kagera iko kenta ndo imeshakua. Nauli ikiwa kubwa ndo nini sasa? Si kutokana na distance? Na mangarangara yenu[emoji23]
Kama ni distance basi mbeya musoma kigoma rukwa mtwara route ingeongezwa Hadi mara tatu kama bukoba.

Hebu tzm bukoba vijijini palivyo
Screenshot_20201227-082319.jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Kama kagera ni vichaka. Kwa nini mpaka Leo population density iko juu kuliko hata KLM.
Tena ni mkoa wa tatu kwa density na population?

View attachment 1660217

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kuwa na population density kubwa ndo sababu kusiwepo na mapori? Watu munaishi kwenye vibanda vidogo watu 20 unategemea nn? Hiyo population yenu imeweza changiaje pato la kila kaya huko kwenu?

Halafu sisi hatutegemei kupata riziki sehemu moja. We vaccate we mboriko.
Hakuna tajiri anayeridhika. Tunakuja hadi huko vijijini kwenu hukohuko. Nyie kukaa sehemu moja hiyo hiyo ndo mmeona fahari ndo maana bongolala. Tembeeni mpate exposure. Nimegundua nyie mbaobisha hamjawahi fika hata hiyo same.
 
Kama kagera ni vichaka. Kwa nini mpaka Leo population density iko juu kuliko hata KLM.
Tena ni mkoa wa tatu kwa density na population?

View attachment 1660217

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Jibu Ni simple tu kwasababu kagera ni mkoa mkubwa mno
Licha ya ukubwa wa kagera,haijaizid Kilimanjaro kwa chochote sio gdp,shule, miundombinu [emoji1][emoji1] hushangai?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na mlivyo wachafu? Uwuuiii. Nianze tu kuja huko. Nikafikie nyumba za matope? Hivi hamjui kama tumekua na mabae wa kihaya ama? Tena wanaishi na wenye uraia wa huko marekani na uingereza?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] niliogopa nikasema heee... nimeonaga picha picha na clips nikasema eeh
[emoji3][emoji3] eti nyumba za matope, kweli imeshikwa pabaya
 
Back
Top Bottom