Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Kwanza mleta mada ni muongo yaani juzi na jana umetembea Machame, Kibosho hadi Rombo!? Na kutafiti familia mbali mbali?!
mkuu mkoa wa kilimanjaro sio mkubwa kiivyo sasa kibosho na machame kuna umbali gani kwa mfano hata huko rombo ni safari ya saa moja tu toka moshi mjini
 
Unachekesha wewe kwa hyo wahaya hawajatembea, yaani kila uendako lazima Mhaya utamkuta anasaka life
Mhaya na kusaka life wapi na wapi
Mhaya akiwa na million 4 anajiona bilionea wakati mchaga million 4 Ni hela ya kunywa[emoji1][emoji1]
 
Alafu wanashusha majumba ya kisasa vijijini, utakonda bure ukiwafikiria wahaya
Sasa kushusha nyumba vijijin UCHAGANI kuna mpinzani? Nbs wanakuambia Kilimanjaro Ni mkoa wa kwanza makaz bora vijijin kws 90% wakati kagera ni 60% tu
 
Nmeshatembea mikoa mingi tu hakuna sehemu yenye usafiri mzuri vijijini kama bk
Usafir wa vijijin kagera umeathiriwa na barabara mbovu
Lakin ukija UCHAGANI hata barabara ambazo sio highway Zina lami mfano
Masama_machame,bomangombe-siha,himo-kilema,himo-holili,himo-mwika,moshi-kibosho,moshi-uru zote ni local roads lakin Zina lami
 
IMG_7332.jpg


Mtoa Uzi na wachangia uzi wengine naomba niwakumbushe tu hadi Google na majarida kibao inarecognize harakati na maendeleo ya watu wa Kilimanjaro kwa hyo usipepete tu mdomo kwa usichokijua.Kama ipo ipo tu mtabaki mnabwabwaja kila siku tunapendelewa na tunaonewa nyie si ndo c mmeshika mfumo mbona sie hatuongei? au mnabebana mbona hatuchongi? tatizo n kwamba watu wanabaki wanawachukia au kuwachunguza wachaga na wakati makabila yenu au familia zenu hamziwezi.Mtaumia
IMG_7331.jpg
 

Attachments

  • IMG_7331.jpg
    IMG_7331.jpg
    474 KB · Views: 1
Back
Top Bottom