Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Nijulishe pia na apa ni wapi kabla sija tumia mbege kukuhukumu
IMG_20201227_225537.jpg
 
Nilifika Kilimanjaro jioni ya tarehe 24/December, nikiwa kwenye timu ya watu watatu tuliojigawa kimaeneo kwa mishemishe tofauti (Hii imenisaidia kupata findings za uhakika).

Tarehe 25/December nilikuwa Marangu, Mwika (Makerere, Mori, Shokoni, Bible nk) na Rombo(Useri, Mashati, Mkuu, Tarakea nk). 26/December nilikuwa maeneo ya Old Moshi(Kidia, Mande, Kiboroloni, Shia, Mbokomu nk), Kibosho na Machame.

Bado nipo Kilimanjaro, nakula bata na kujifunza maisha ya wachaga na wakazi wa Kilimanjaro.
Unajifunza maisha ya wachaga kwa siku mbili tarh 24 na 25 then unathubutu kusema unareport, jipange tafuta semester 8 labda utafanikiwa kujua hayo maisha
 
Unafika Marangu, Mwika halafu hukufika Vunjo?
Mkuu embu nisaidie hapo, huenda huko Kirua Vunjo nimepafika bila kujua, halafu mwenyeji wangu akaniingiza chaka kuwa sijafika!

Nikiwa maeneo ya Mwika nilifanikiwa kuona shule ya sekondari ya Vunjo lakini mwenyeji wangu akaniambia hapo sio Kirua bali ni Mwika. Sasa sijui kipi ni kipi?
 
Acha uongo na unafiki mkubwa mkuda wewe......Yaani to be honest haujafika Kilimanjaro wala popote pale unakaa tu mahali unatype nyuma ya keyboard halaf unakuja kuandika uzushi na uongo tu
Bado nipo Kilimanjaro, mkuu kama upo tuonane, nitembeze kidogo ili nijifunze mengi.

Hakuna haja ya kuchukiana.
 
Bukoba Hali ipoje?
Huu ni uzi kuhusu Chrismas uchagani na sio mambo ya Bukoba.
Lakini kiujumla tu, Bukoba ni mahali pa kawaida sana, sioni kipya au kitu cha maana kwenda kujifunza huko. Na sioni mantiki ya kutaka kupalinganisha na Kilimanjaro. Kilimanjaro ni level nyingine, tofauti sana.

Nimekuja Kilimanjaro kujifunza.
 
Umetembea siku moja Kilimanjaro yote na umekuja na hizo takwimu? 😂😂😂😂
Hapana, sijatembea Kilimanjaro yote bali baadhi ya maeneo ya wachaga katika wilaya za Rombo, Moshi vijijini na Hai. Na ziara yangu imeshachukua siku tatu sasa.

Sina takwimu kamili bali nimefanya observation (general overviews). MwanaJF mwingine anaweza kuja na utafiti mpana zaidi.
 
Eneo la Kilimanjaro in dogo sana. Aidha utalii wa mlima Kilimanjaro ulichangia Barabara hizo kujengwa. Ila nakuambia ukweli kwamba kwa sasa wasukuma wameamka in sawa na zimwi liliolala na sasa limeamka itabidi muwe wapole tu.
Mmmh!
Mkuu kuwafananisha wachaga na wasukuma utakuwa unakosea sana. Hapo ni mbingu na ardhi, wachaga walishangamka kabla ya uhuru wa Tanganyika, wana msingi mpana na mrefu mnoo wa kuvuna maendeleo kuliko kabila lolote hapa Tanzania.
Wasukuma bado sana.
 
Huu utafiti una faida gani kwako na kijiji kwenu na kwa Baba yako na mama yako!
Kujifunza kwa aliyefanikiwa au kukutangulia kutakufanya nawe utamani kusonga mbele zaidi.
Wazanzibar wenzangu watapata kitu.

Ni hivyo tu.
 
usituletee Uongo hapa tunahitaji taarifa sahihi. haiwezekani eti unasema umekusanya findings alafu kumbe ni utopolo mtupu. Findings unafahamu maana yake wewe
Sijui ndugu maana ya findings, nifungue basi akili nijue hiyo kitu.
 
Umeongea ukweli kabisa uchgani kote siyo kuwa kumejengeka na kuna maisha ya dhiki kama yalivyo maeneo mengi ndani ya nchii hii Ila icho hakijatuzuia kurudi makwetu na kufurahi sherehe hiii wachaga sikuwa ni matajiri sana ndani ya nchii hii na labda wamejenga sana makwao hapana Ila wamajenga utamaduni huuu wa kujiunga na ndugu pamoja na marafiki kufurahia pamoja kwaiyo mtoa mada acha wivu mda ambao umezunguka Moshi ungeutumia kufurahi na nduguzo na wazazi wako ingeoendeza snaa
 
Back
Top Bottom