Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Umeongea ukweli kabisa uchgani kote siyo kuwa kumejengeka na kuna maisha ya dhiki kama yalivyo maeneo mengi ndani ya nchii hii Ila icho hakijatuzuia kurudi makwetu na kufurahi sherehe hiii wachaga sikuwa ni matajiri sana ndani ya nchii hii na labda wamejenga sana makwao hapana Ila wamajenga utamaduni huuu wa kujiunga na ndugu pamoja na marafiki kufurahia pamoja kwaiyo mtoa mada acha wivu mda ambao umezunguka Moshi ungeutumia kufurahi na nduguzo na wazazi wako ingeoendeza snaa
Ujio wangu huku uchagani umebeba mambo mengi sana, ukiachana na suala la utalii, ziara hii imebeba issue za kimaisha, kibiashara na kimapenzi (nataka kuchumbia!).

Hivyo usipate sana shida, ni ziara njema kwangu na kwa jamii yangu.

Niliamua kushare baadhi ya machache hapa JF kwa wengi ambao hawajawahi kuja uchagani wajifunze kitu.
 
Ndugu nihukumu tu, hapo sijui ni wapi, maana nimekutana na barabara nyingi na nzuri za lami huko uchagani. Nikisema ni wapi nitakuwa nabahatisha sana.
Nikiwa nina kuandalia hukum nijulishe apo ni wapi
 
Attachments

  • IMG_20201228_002510.jpg
    IMG_20201228_002510.jpg
    108.8 KB · Views: 1
Nilishajenga lakini naenda mara tatu mpaka nne kwa mwaka. Sasa wachagga mara moja tu kwa mwaka sasa hiyo ni akili au matope ?

Unaenda wapi kama wewe sio wale wanaoishi kwenye mbavu za mbwa na unajitapa unaishi dar huna lolote alienacho ataongezewa asie nacho atanyang'anywa kabisa
 
Nani kakudanganya ni lini uliwaona kabila kuu wakienda kuomba msaada Kilimanjaro ? Badala yake wachagga ndo kila siku kuja kanda kuu kutafuta maisha na mabinti wa kichagga kufanya kila njia ili waolewe na kabila kuu. Usicheze na Sukumaland wewe.

Hahaha subiri nicheke kicheko cha dharau eti kabila Kuu nan kakwambia kua kuna kabila kuu na kabila kuukuu sema nyie watu wa kanda ya ziwa mnabebwabebwa kwa mbeleko na infact kama mngekua hambebwi tungepanga ligi tuwaoneshe nyie kaeni mseme sisi ndo kabila sijui la mtukufu lakin nyie ndo vibarua kwenye maduka na majumba yetu tunakuja kwenu tunachukua tunaweka waaa!!![emoji23][emoji23]
 
We nawe umetikea wapi[emoji23][emoji23][emoji23] mbona kolabo sasa. Unahusikaje mkuu? Tulia bwana. Nyie vibarua bora sana kwenye mashamba. Mnapiga jembe kama hamna akili nzuri

Hawa ni manamba [emoji23][emoji23][emoji23] au watwana eti kabila kuu unadhan kama sio kubebwabebwa na meko kuna cha maana ambacho wangejitapa swa hatukatai wachaga hatuko kwenye ngazi za juu serikalin lakin kimsingi hatujawahi kutaka fadhila na wala hatutaki hzo fadhila n tunatoboa
 
Ndondi zimehama kutoka chagga vs haya ,zimehamia kwa Chagga vs msukuma.?mwaka huu kazi tunayo Watanzania

Tatizo moja hii kanda maalum inawashwawashwa na watu wa Kask lakin sisi wala hatuna shida nao na Fadhila zao wanazopewa kama n bahati zao hatulalii mlango wazi
 
Labda tu niwele in simple way. Mchaga yuko kila mahali. Na napenda ethic yao ya upambanaji. Wazungu wanasema kama fursa haitokei.. tengeneza hiyo fursa.
Ndio maana wamesambaa kila mahali kusaka mapene.. si watu wavivu. Ndio maana wamesambaa

Kuhusu wanawake wa kichaga kutaka kuolewa na wasukuma that is false. Hakuna data or statistics inayo support allegation zako.

Absolutely correct pia usisahau n watu ambao hawana wivu na cha mtu yan yy akipata saizi yake n yake wala hamwonei wivu msukuma au mhya sbbu kapata chake atakomaa na chake wala haangahiki na cha mtu shida sasa wengine waone tu kapata.hpo ndo tatizo linapoanza.Asante mkuu nakuletea mbege baridi ujipoze
 
Mmmh!
Mkuu kuwafananisha wachaga na wasukuma utakuwa unakosea sana. Hapo ni mbingu na ardhi, wachaga walishangamka kabla ya uhuru wa Tanganyika, wana msingi mpana na mrefu mnoo wa kuvuna maendeleo kuliko kabila lolote hapa Tanzania.
Wasukuma bado sana.
Pole sana. Inaonekana wewe ni mchagga halafu unajifanya mzanzibar. Nikukumbushe tu kwamba mwaka 1945 msukuma Kidaha Makwaya na mchagga Shagali walikuwa Watanganyika wa kwanza kuingia katika Baraza la kutunga sheria la mkoloni. Lazima utambue kwamba hata hili kabila kuu walipiga kitabu mapema sana. Kwa hiyo usiwachukulie poa sana ngoshas. Kwa sababu ya uwingi wao wapo ambao hawajasoma lakini wapo waliosoma mapema sana.
 
Wewe naona ni mkweli na una akili sana. Safi sana ndugu yangu
Umeongea ukweli kabisa uchgani kote siyo kuwa kumejengeka na kuna maisha ya dhiki kama yalivyo maeneo mengi ndani ya nchii hii Ila icho hakijatuzuia kurudi makwetu na kufurahi sherehe hiii wachaga sikuwa ni matajiri sana ndani ya nchii hii na labda wamejenga sana makwao hapana Ila wamajenga utamaduni huuu wa kujiunga na ndugu pamoja na marafiki kufurahia pamoja kwaiyo mtoa mada acha wivu mda ambao umezunguka Moshi ungeutumia kufurahi na nduguzo na wazazi wako ingeoendeza snaa
 
Mimi siishi Dar. Hakuna mahali popote katika post zangu nimesema ninaishi Dar. Pole sana mbona unapanic ? JF ni jukwaa la wenye uvumilivu. Tatizo lenu wachagga mnaamini ninyi mmejenga peke yenu wakati siyo kweli. Sasa hivi kila jamii imeamka.
Unaenda wapi kama wewe sio wale wanaoishi kwenye mbavu za mbwa na unajitapa unaishi dar huna lolote alienacho ataongezewa asie nacho atanyang'anywa kabisa
 
Kabila kuu halijawahi kubebwa kama mlivyokuwa mnabebwa nyie. Hata jiji letu la kanda ya Ziwa halijawahi kubebwa na serikali. Halina chuo kikuu cha serikali, halina Taasisi nyingi za serikali lakini linajijenga lenyewe na kuwaacha mbali wabebwaji akina Moshi na Arusha.
Hahaha subiri nicheke kicheko cha dharau eti kabila Kuu nan kakwambia kua kuna kabila kuu na kabila kuukuu sema nyie watu wa kanda ya ziwa mnabebwabebwa kwa mbeleko na infact kama mngekua hambebwi tungepanga ligi tuwaoneshe nyie kaeni mseme sisi ndo kabila sijui la mtukufu lakin nyie ndo vibarua kwenye maduka na majumba yetu tunakuja kwenu tunachukua tunaweka waaa!!![emoji23][emoji23]
 
Mwingereza alipofika Afrika Mashariki na kusini akafanya utafiti akagundua kuna baadhi ya makabila yanastahili kuitwa nchi kabisa nayo ni. Shonaland, Nyasaland, Sukumaland na Bechuanaland. Kwa hiyo tunaposema wasukuma ni kabila kuu hatutanii bali huo ndio ukweli mchungu. Pole sana.
Hawa ni manamba [emoji23][emoji23][emoji23] au watwana eti kabila kuu unadhan kama sio kubebwabebwa na meko kuna cha maana ambacho wangejitapa swa hatukatai wachaga hatuko kwenye ngazi za juu serikalin lakin kimsingi hatujawahi kutaka fadhila na wala hatutaki hzo fadhila n tunatoboa
 
Mkuu.. mleta hoja naomba nikusahihishe juu ya research yako..

Kwanza kumbe wewe ulikua unapita main road tuu unaambiwa hapa ni kibosho, hapa rombo, hapa mwika, hapa uru etc. Ndo research zinavyoenda? Nilidhani umepata mialiko kwa familia kadhaa za huko hivyo ukazungukia mitaa hiyo yote ndani. Kumbe unapita road tu?

Pili, naomba nikuambie, Christmas siyo bar kule uchahhani. Christmas ni majumbani. Siyo barabarani. Christmas watu wakitoka makanisani hienda kusherehekea majumbani ndugu yangu. Hujikusanya kwa mojawapo ya familia either ndo zamu ya kusherehekea ama ambaye pochi ni nene zaidi ya wengine. Hamuwezi kulingana kiuchumi.

Christmas kwetu ni excitement kwakua watu tunaenda kukutana na familia. Unagikiria Macha hatujaonana mudaaaa unakua excited kumwona na kumsikia anakuja na lipi. Ni mojawapo na nafasi ya kupata challenges. Kama kwetu endapo mtu ameanguka kiuchumi kidogo wengine humchangia.

Kuhusu kujengeka tuache masikhara. Vijijini kumejengeka. Kumejengeka mno. Nikuhakikishie kijiji chetu hakuna nyumba ya udongo. Na kumejengeka toka 80's huko ijapokua tumekuja kuboresha zaidi.

Kwa hayo machache, niombe nikukaribishe this coming Christmas endapo mola atatupa nafasi tena. Nitakualika hakika na nitakuzungusha jimbo langu na utakuja badili huu uzi. Nikuahidi hilo.
 
Pole sana. Inaonekana wewe ni mchagga halafu unajifanya mzanzibar. Nikukumbushe tu kwamba mwaka 1945 msukuma Kidaha Makwaya na mchagga Shagali walikuwa Watanganyika wa kwanza kuingia katika Baraza la kutunga sheria la mkoloni. Lazima utambue kwamba hata hili kabila kuu walipiga kitabu mapema sana. Kwa hiyo usiwachukulie poa sana ngoshas. Kwa sababu ya uwingi wao wapo ambao hawajasoma lakini wapo waliosoma mapema sana.
Mimi siko hapa kusifia au kuponda chochote. Sina interest yoyote binafsi na wachaga, wasukuma au wahaya.

Ninaposema wachaga wana msingi mrefu na mpana wa kimaendeleo ninamaanisha kuwa kama utamtazama mchaga aliyepiga hatua kubwa za kimaendeleo utaona jamii yake ya karibu (ndugu zake) na kizazi chake (baba, babu, watoto wake) nao wako au walikuwa na level hiyo hiyo ya kimaendeleo. Ni nadra sana kuliona hilo kwa makabila mengine unless kwenye koo za kichifu.

Wachaga nimewajua wakiwa mijini, huku mitaani tunakoishi nao. Ni watu tofauti sana linapokuja swala la maendeleo, kiujumla wachaga wamechangamka sana linapokuja suala la maendeleo.
To be honest huwezi kuwalinganisha na wasukuma.
 
Back
Top Bottom