Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
- Thread starter
- #481
Ujio wangu huku uchagani umebeba mambo mengi sana, ukiachana na suala la utalii, ziara hii imebeba issue za kimaisha, kibiashara na kimapenzi (nataka kuchumbia!).Umeongea ukweli kabisa uchgani kote siyo kuwa kumejengeka na kuna maisha ya dhiki kama yalivyo maeneo mengi ndani ya nchii hii Ila icho hakijatuzuia kurudi makwetu na kufurahi sherehe hiii wachaga sikuwa ni matajiri sana ndani ya nchii hii na labda wamejenga sana makwao hapana Ila wamajenga utamaduni huuu wa kujiunga na ndugu pamoja na marafiki kufurahia pamoja kwaiyo mtoa mada acha wivu mda ambao umezunguka Moshi ungeutumia kufurahi na nduguzo na wazazi wako ingeoendeza snaa
Hivyo usipate sana shida, ni ziara njema kwangu na kwa jamii yangu.
Niliamua kushare baadhi ya machache hapa JF kwa wengi ambao hawajawahi kuja uchagani wajifunze kitu.