Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu hazina kazi kivipi wakati zikishikwa polepole na mwanamke zina-respond? Hizo ni stimulie!Chuchu ni kama ilivo appendix,
Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.
Hazina kazi.
Mkuu pitia biology upya, ata tumbo likiguswa utasisimka.. Ni kawaida kwa ngozi kuwa na sensory cell za mguso.. Hiyo haipi kazi chuchu kuwa kama sexual stimulant bwana.Mkuu hazina kazi kivipi wakati zikishikwa polepole na mwanamke zina-respond? Hizo ni stimulie!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maelezo yako tayari yanaonyesha kuwa ushafanyiwa hivyo na ukajisikia raha pole sanaa nimetambua una umama ndani yako sababu ujatafautiana na mke wangu ki fikra
Dah...ndiyo sababu....Mkoa
Acha kujificha kwenye kichaka cha Elimu, haitakusaidia kujifunza zaidi. Jazba zako zinanipa tafsiri kuwa huenda unachokisema ndiyo kinachokusumbua (Una elimu ndogo au Hujaelimika kabisa)Nina wasiwasi na elimu yako mkuu
Dah...akili zinatofautiana sana.....😛