Chuchu za mwanaume

Chuchu za mwanaume

Chuchu ni kama ilivo appendix,

Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.

Hazina kazi.
Mkuu hazina kazi kivipi wakati zikishikwa polepole na mwanamke zina-respond? Hizo ni stimulie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu maelezo yako tayari yanaonyesha kuwa ushafanyiwa hivyo na ukajisikia raha pole sanaa nimetambua una umama ndani yako sababu ujatafautiana na mke wangu ki fikra


Kumbe mkeo anakushikisha ukuta, unaishi Dar sehemu gani?
 
Back
Top Bottom