Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu hazina kazi kivipi wakati zikishikwa polepole na mwanamke zina-respond? Hizo ni stimulie!Chuchu ni kama ilivo appendix,
Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.
Hazina kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app