Chuga ni nchi nyingine nchini?

Chuga ni nchi nyingine nchini?

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Nimepanda Hiace toka hapa banana naelekea mjini kuona mandhari abiria 1 akataka kuingia kondakta akamjibu kwa lafudhi ya Arusha "usije maana gari iko NGAA"



Nikadodosa NGAA ni nini nikaambiwa maana yake imejaa haipakizi tena[emoji23]
Hebu tupia misamiati mingine ya chuga tusiyoijua kwenye comments tujifunze sisi wa Dar maana wakina Miss Buza wetu wakija huku wata-shaa[emoji23]
FB_IMG_1586440096851.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom