Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

Mengi tu ikiwemo kukomesha matumizi ya mifuko ya Plastics nchini jambo ambalo ni la kihistoria na lilikuwa mzigo kwa Taifa.
Mifuko ya plastics haipo mtaani sasa hivi au we ukienda kununua wanakufungia kwenye kanga?
 
Huyu mumeo kafanya nini pale nishati? gas, umeme kukatika, mafuta juu ndiyo maaendeleo kwa vile pale kwenu kuna generetor la TANESCO?
Kwa mda aliokaa Tanesco na mashirika yake tanzu Kwa mara ya kwnza yameanza kupata faida.

Pili Kwa Uongozi wake Tanesco ilifanikiwa kulinganisha wateja wapya zaidi ya 500k ,mbona nyie mliodai mlikuwa mnauza umeme 27,000 mlishindwa ku connect umeme Kwa watu wengi hivyo?

Chini ya Makamba bwawa la Nyerere limefikia 90% kutoka 40% nk nk
 
Kuna watu wameamua kukubali kurithishwa uadui!Nadhani hii changamoto tumekuwa nayo Tanzania kwa muda mrefu.
 
Upuuzi wa kukosa hoja na kujibu hoja.Ila Ukiwa Kwa Sultan Mbowe ndio akili unakuwanazo au? 😁😁
Wewe endelea kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu kwa ccm na ssh ili kulinda ugali wako

Kumbuka kauli zako mwanamke sio wa kuaminika hata kidogo mwisho wa kunukuu

unaimba mapambio kwa SSH kwa sababu ya njaa
 
Hujajibu swali Mkuu,nimeuliza tu Kalemani na uongozi wa TANESCO uliokuwepo awamu ya Tano uliwezaje kufanikiwa upatikanaji wa umeme kwa uhakika.Kumbuka tunaongelea kipindi cha miaka 5?
Umeme upi wa uhakika? Kama umeme ulikuwa wa uhakika ni vipi Vijiji zaidi ya 2,000 havikupata umeme?

Kama.umeme ulikuwa wa uhakika ilikuwaje watu wote hamkuwaunganisha na umeme maana mlisema mumeshusha bei.

Kama.umeme ulikuwa wa uhakika ni vipi mlishindwa Kupeleka umeme. Kwenye migodi mikubwa kama GGM.na Chunya Hadi amepelela Makamba?

Ni vipi mlishindwa Kupeleka umeme wa grid Kigoma na Tabora Hadi aje Makamba?

Wapumbavu nyie hakuna mnachoweza
 
Wewe endelea kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu kwa ccm na ssh ili kulinda ugali wako

Kumbuka kauli zako mwanamke sio wa kuaminika hata kidogo mwisho wa kunukuu

unaimba mapambio kwa SSH kwa sababu ya njaa
😀😀😀😀😀 Ukiwa.kwa.sultan Mbowe ndio inakuwa na akili au siyo? Jinga hili
 
Kampeni za mitataoni zinaendeshwa na genge moja linalotaka urais. Wanamuona January Makamba kama tishio. Hivyo wanataka kumdhoofisha kwa kuwaaminisha watu kuwa hafai. Na wengine wanafuata mkumbo bila kujua kilichoko nyuma ya hizo tuhuma.

January ni presidential material.
Tishio kwa lipi kwa kuvaa suti labda maana matendo yanajionesha jinsi alivyo hopeless kabisa
 
Rais ajaye. Akili nyingi. Sasa hivi yuko Foreign Affairs kuwapa Watanzania heshima yenu..

Mengine yote majungu. Chadema hamumtaki mnajua atawakaza huko mbele. Watu wa Jiwe mna bifu nae kwa sababu ndio alimweka malaika wenu madarakani.

Mwengine nani Kigogo, anatukana ili apewe ela atulie.

Piga Kazi Kissinger Makamba
Ila huko Mambo ya Nje wamempatia maana ni Mzee wa connection na ataziweza sana diplomasia ya Uchumi.
 
Kampeni za mitataoni zinaendeshwa na genge moja linalotaka urais. Wanamuona January Makamba kama tishio. Hivyo wanataka kumdhoofisha kwa kuwaaminisha watu kuwa hafai. Na wengine wanafuata mkumbo bila kujua kilichoko nyuma ya hizo tuhuma.

January ni presidential material.
Januari ni presidential immaterial.

Haijalishi kama anapenda kuwa Rais wa Tanzania ila hana uwezo huo wa kuwa Rais na HATOKUWA Rais wa Tanzania sawa na akina Lowassa.

Rais wa Tanzania ni chaguo la Mungu tu na siyo matakwa ya binadamu. Ukiacha J K Nyerere Rais wa kwanza, kila ambaye alisemwa sana hajawahi kupata hiyo nafasi.

Januari hatopata, niko pale niite mbwa
 
Kipi amefanya makamba kwenye wizara yoyote zaidi ya upigaji

Ezi za Jk walikuwa miungu watu wakisaidia na nape jr
Rejea post zangu nimeshajibu wenzio hapo Juu ila Kwa uchache

1.Kaiwezesha Tanesco kupata faida Kwa mara ya kwanza
2.Kaunganisha umeme wa grid Kigoma na Tabora
3.Kaungamisha wateja wengi zaidi ya 500k ,haijawahi tokea.
4.Bwawa la Nyerere Sasa ni 90% kutoka chini ya 40%

Orodha ni ndefu sana,chuki zitakuua mapema kama Simba
 
Hata mimi huenda sijadadisi kuhusu makamba ila naona yuko vizuri.
 
Wewe umekatazwa Kuiba? Kwa nini dada yako nae asiwe mtunza pesa?

Kwani JPM wako ni nani Hadi asifanyiwe figisu? Mbona huyo unaemtetea sio tuu amefanya hujuma Kwa wenzie Bali amekatisha Uhai wao,yupi ni binadamu kati Yao wawili?

Wewe unanifahamu Dili gani ambako analifanya? Kufanya Dili Kuna shida gani? Wewe umekatazwa kufanya Dili?

Kujiona ndio kukoje au wewe ndio unaona hivyo? Unaweza thibitisha?
Kwa mawazo haya na wewe ukipenda tukuchukuie sawa tu.
 
Rejea post zangu nimeshajibu wenzio hapo Juu ila Kwa uchache

1.Kaiwezesha Tanesco kupata faida Kwa mara ya kwanza
2.Kaunganisha umeme wa grid Kigoma na Tabora
3.Kaungamisha wateja wengi zaidi ya 500k ,haijawahi tokea.
4.Bwawa la Nyerere Sasa ni 90% kutoka chini ya 40%

Orodha ni ndefu sana,chuki zitakuua mapema kama Simba
Bwana la Nyerere huyu jamaa hajawahi kulipenda tangu kujengwa kwake.

JPM alimtumbua baada ya kuona figisu zake kwenye Bwawa la Nyerere.

Sifa zake ni kwamba kalichelewesaha sana.

Spidi yake ya kuunganisha ndogo sana.
 
Hapo mambo yote base yake imetoka na Magu
Mikataba aliyoingia ni upigaji mwisho wasiku akandolewa
Muda utasema report ya CAG afu nitakutafuta
 
Kazi ya Waziri sio kupenda bwawa au kutolipenda so long as ni mradi wa Kitaifa lazima usimamie.

Speed ya kulinganisha ingekuwa ndogo asingewafikia watu 500k,leta rekodi kama hii kabla tena umeme Ukiwa 27,000 niwekeeni hapa
 
Hapo mambo yote base yake imetoka na Magu
Mikataba aliyoingia ni upigaji mwisho wasiku akandolewa
Muda utasema report ya CAG afu nitakutafuta
Magu yupi Sasa hapo? Magu ndio alifanya reshafle ya Tanesco? In fact wateule wa Magu wote walitimuliwa na Tanesco wengine wakaenda kuisha vyombo Ikulu kuanzia Katibu Mkuu, Waziri Hadi CEO.

Bila.kufanya hayo mabadiliko Sasa hivi Tanesco ingekuwa Shirika mfu kama.Magu wenu alivyoua mashirika ya Pension.

Mikataba ya upigaji upi Sasa hiyo? Sasa hivi CAG anakagua hata Tanesco wakati wa yule tapeli wenu Magu huko kulikuwa hakuguswi.

Au umesahau VP alipowahinkusema mkandarasi wa Tanesco hana uwezo na ameingiza Nchi hasara?

Kazi kamaliza Sasa kapelekwa kwenye connection Ili afanye vyema diplomasia ya Uchumi manaa Tax hiyo kazi ilimshinda.

View: https://twitter.com/MichuziBlog/status/1697544571029270992?t=HyRqs9C_1rWUAgDUqvSFYg&s=19
 
Back
Top Bottom