Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Mifuko ya plastics haipo mtaani sasa hivi au we ukienda kununua wanakufungia kwenye kanga?Mengi tu ikiwemo kukomesha matumizi ya mifuko ya Plastics nchini jambo ambalo ni la kihistoria na lilikuwa mzigo kwa Taifa.