Mifuko ya plastics haipo mtaani sasa hivi au we ukienda kununua wanakufungia kwenye kanga?Mengi tu ikiwemo kukomesha matumizi ya mifuko ya Plastics nchini jambo ambalo ni la kihistoria na lilikuwa mzigo kwa Taifa.
Kwa mda aliokaa Tanesco na mashirika yake tanzu Kwa mara ya kwnza yameanza kupata faida.Huyu mumeo kafanya nini pale nishati? gas, umeme kukatika, mafuta juu ndiyo maaendeleo kwa vile pale kwenu kuna generetor la TANESCO?
Kwakuwa na wewe unakili za ccm huwezielewa maana yakeKama jibu unalo na unaamini hivyo,why umchukie Makamba si ungemjibu tuu why not?
Wewe endelea kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu kwa ccm na ssh ili kulinda ugali wakoUpuuzi wa kukosa hoja na kujibu hoja.Ila Ukiwa Kwa Sultan Mbowe ndio akili unakuwanazo au? 😁😁
Umeme upi wa uhakika? Kama umeme ulikuwa wa uhakika ni vipi Vijiji zaidi ya 2,000 havikupata umeme?Hujajibu swali Mkuu,nimeuliza tu Kalemani na uongozi wa TANESCO uliokuwepo awamu ya Tano uliwezaje kufanikiwa upatikanaji wa umeme kwa uhakika.Kumbuka tunaongelea kipindi cha miaka 5?
😀😀😀😀😀 Ukiwa.kwa.sultan Mbowe ndio inakuwa na akili au siyo? Jinga hiliWewe endelea kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu kwa ccm na ssh ili kulinda ugali wako
Kumbuka kauli zako mwanamke sio wa kuaminika hata kidogo mwisho wa kunukuu
unaimba mapambio kwa SSH kwa sababu ya njaa
Jibu hoja Kwa nini mnamchukia Makamba full stopKwakuwa na wewe unakili za ccm huwezielewa maana yake
Tishio kwa lipi kwa kuvaa suti labda maana matendo yanajionesha jinsi alivyo hopeless kabisaKampeni za mitataoni zinaendeshwa na genge moja linalotaka urais. Wanamuona January Makamba kama tishio. Hivyo wanataka kumdhoofisha kwa kuwaaminisha watu kuwa hafai. Na wengine wanafuata mkumbo bila kujua kilichoko nyuma ya hizo tuhuma.
January ni presidential material.
Ila huko Mambo ya Nje wamempatia maana ni Mzee wa connection na ataziweza sana diplomasia ya Uchumi.Rais ajaye. Akili nyingi. Sasa hivi yuko Foreign Affairs kuwapa Watanzania heshima yenu..
Mengine yote majungu. Chadema hamumtaki mnajua atawakaza huko mbele. Watu wa Jiwe mna bifu nae kwa sababu ndio alimweka malaika wenu madarakani.
Mwengine nani Kigogo, anatukana ili apewe ela atulie.
Piga Kazi Kissinger Makamba
Kipi amefanya makamba kwenye wizara yoyote zaidi ya upigajiJibu hoja Kwa nini mnamchukia Makamba full stop
Januari ni presidential immaterial.Kampeni za mitataoni zinaendeshwa na genge moja linalotaka urais. Wanamuona January Makamba kama tishio. Hivyo wanataka kumdhoofisha kwa kuwaaminisha watu kuwa hafai. Na wengine wanafuata mkumbo bila kujua kilichoko nyuma ya hizo tuhuma.
January ni presidential material.
Rejea post zangu nimeshajibu wenzio hapo Juu ila Kwa uchacheKipi amefanya makamba kwenye wizara yoyote zaidi ya upigaji
Ezi za Jk walikuwa miungu watu wakisaidia na nape jr
Kwa mawazo haya na wewe ukipenda tukuchukuie sawa tu.Wewe umekatazwa Kuiba? Kwa nini dada yako nae asiwe mtunza pesa?
Kwani JPM wako ni nani Hadi asifanyiwe figisu? Mbona huyo unaemtetea sio tuu amefanya hujuma Kwa wenzie Bali amekatisha Uhai wao,yupi ni binadamu kati Yao wawili?
Wewe unanifahamu Dili gani ambako analifanya? Kufanya Dili Kuna shida gani? Wewe umekatazwa kufanya Dili?
Kujiona ndio kukoje au wewe ndio unaona hivyo? Unaweza thibitisha?
Yaani Mimi napenda sana kuchukiwa,ndio furaha yangu SasaKwa mawazo haya na wewe ukipenda tukuchukuie sawa tu.
Bwana la Nyerere huyu jamaa hajawahi kulipenda tangu kujengwa kwake.Rejea post zangu nimeshajibu wenzio hapo Juu ila Kwa uchache
1.Kaiwezesha Tanesco kupata faida Kwa mara ya kwanza
2.Kaunganisha umeme wa grid Kigoma na Tabora
3.Kaungamisha wateja wengi zaidi ya 500k ,haijawahi tokea.
4.Bwawa la Nyerere Sasa ni 90% kutoka chini ya 40%
Orodha ni ndefu sana,chuki zitakuua mapema kama Simba
Hapo mambo yote base yake imetoka na MaguRejea post zangu nimeshajibu wenzio hapo Juu ila Kwa uchache
1.Kaiwezesha Tanesco kupata faida Kwa mara ya kwanza
2.Kaunganisha umeme wa grid Kigoma na Tabora
3.Kaungamisha wateja wengi zaidi ya 500k ,haijawahi tokea.
4.Bwawa la Nyerere Sasa ni 90% kutoka chini ya 40%
Orodha ni ndefu sana,chuki zitakuua mapema kama Simba
Kazi ya Waziri sio kupenda bwawa au kutolipenda so long as ni mradi wa Kitaifa lazima usimamie.Bwana la Nyerere huyu jamaa hajawahi kulipenda tangu kujengwa kwake.
JPM alimtumbua baada ya kuona figisu zake kwenye Bwawa la Nyerere.
Sifa zake ni kwamba kalichelewesaha sana.
Spidi yake ya kuunganisha ndogo sana.
Magu yupi Sasa hapo? Magu ndio alifanya reshafle ya Tanesco? In fact wateule wa Magu wote walitimuliwa na Tanesco wengine wakaenda kuisha vyombo Ikulu kuanzia Katibu Mkuu, Waziri Hadi CEO.Hapo mambo yote base yake imetoka na Magu
Mikataba aliyoingia ni upigaji mwisho wasiku akandolewa
Muda utasema report ya CAG afu nitakutafuta