Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

Wewe umefanya kipi Cha maana? Wewe ulitaka Waziri afanye kipi Cha maana? Unayajua majukumu ya Waziri?
Anza na yeye Mimi Sina influence kwenye matumizi ya Kodi zetu.Tupe hata moja la maana kwa taifa keshawahi.
 
Kazi ya Waziri sio kupenda bwawa au kutolipenda so long as ni mradi wa Kitaifa lazima usimamie.

Speed ya kulinganisha ingekuwa ndogo asingewafikia watu 500k,leta rekodi kama hii kabla tena umeme Ukiwa 27,000 niwekeeni hapa
Aaaaa baba/mama eee.. google.

Umeme ulikuwa umebank vijiji 2000 kaondoka bilabila.
 
Weka hata moja kwa kifupi tu
Acha ujinga basi

Tanesco kuanza kupata faida
Bwawa kufikia 90%

Kigoma,Katavi na Tabora kupata umeme wa grid ya Taifa

Kuunganishwa wateja wapya zaidi ya 500k

Kupeleka umeme kwenye migodi mikubwa ikiwemo GGM,Kagera Sugar nk

Kuzindua program ya Nishati safi

Kuanzisha REA awamu ya 3 kwenye Vitongoji

Kafanikisha Wawekezaji wa gas ya Mtwara Dola Bilioni 42 kusaini HGA

Na mengine mengi tuu.

View: https://twitter.com/tanescoyetutz/status/1696385688122335569?t=SKdBZs6GCTALHMMIf7Vjug&s=19
 
Mbona yote haya yamekuwepo kitambo tu.
Anza na Jimbo lake kawafanyia nini
 
Chawa
 
Mti wenye matunda ndiyo upopolewao.
 
Kuna watu wanamwona kama threat kwao na ndo ukweli ana nyota kali nadhani kila wakipuliza wanamuona zumbe anazidi kung'ara. Ukiandikiwa umeandikiwa tu hata adui atumie nguvu ya namna gani hawezi kukushusha wala kukuchafua!
 
Kama kweli wewe ni mkweli malizia na neno "Muadilifu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…