Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

Umesahau mafumbo yake kwenye twitter na insta ya kumfumba Mh Rais Magufuli kipindi katumbuliwa akakanywa mpaka akaenda kufuta post huo ni utovu wa nidhamu kwa kiongozi mkubwa wa nchi hatujasahau
 
Samahani,
Bwana mmoj anayemshambulia sana kule tweeter anakerwa hata na tuvaaji wake wa kukunja shati mikono kidogo,kama Obama.Kuhusu rushwa,samahani tena,hivi kwa CCM kuna mbunge anapita kutoa rushwa (kama sio kwenye uchaguzi ni kwenye mchujo).Hili la dili sina uhakika lakini kwa kusemwa huku CAG si angemuanika vilivyo?
Nashukuru
 
Haijalishi kuwa wewe ni Dogo, Braza au Dingi, au Kikongwe.... Cha msingi jua kuwa Mzee wa Chato alikuwa Rais bora, imagine miaka 5 tu, Bongo ilianza kutoka kwenye ubongonyoso, tukaanza kuingia kwenye ubongoraha... Tukaanza kuwa Recognized, Watalii wakaanza kutua, Miradi ikaanza kutembea, Serikali ikaamia Dodoma, Treni ya SGR na Bwawa la umeme likaanza kujengwa, Daraja refu Afrika mashariki pale mwanza, Meli kubwa ziwa Victoria, MV hapa kazi tu... Rushwa ilianza kupotea maana, mchizi wangu mmoja naye alikamatwa kwa rushwa, ata mwananchi wa kawaida akaanza kuheshimika... Yule mwamba apumzike tu... Ukipinga huu ukweli, wewe unatakiwa ukapimwe akili uenda akili zako ni moja kasoro robo
 
Hz ni miongoni mwa mbinu anazotumia mheshamiwa February manyuzi, kujiweka akilini mwa watu, apa naona chawa wake wakijaribu kueka hoja nyepesi kumtetea apate huruma za wanyonge watz, Ila kiukweli February ni ibilisi
 
He is irrelevant and useless to Tanzanian citizens and their sovereignty resources therefore immaterial for whatever roles to trusted.
 
Lakini mada haihusiani na JPM
 
Mkuu na pale wami daraja jipya likajengwa chaap na roho za umauti zikakoma kuwaandama madereva wa malori na mabasi na abiria wao.
 
huyu bwana wengi wanamchukia na hawana ushahidi wowote
 
Kuna wale tunaoamini kuwa January ndye Kigogo 14 aliyekuwa anajitahidi kuonesha Jiwe Mwamba Magufuli alikuwa ni Kiongozi mbaya nchini kwa kutoa Siri na taarifa mbalimbali mbaya dhidi yake. Sasa hivi mambo yamemgeukia kama vile Waingereza wasemavyo, What goes around, comes around!
 
Unataka ushaidi kwani hapa ni mahakamani
 
Binafsi simchukii, sema January bila lile jina la Makamba basi angekuwa muosha Magari au kinyozi. Mwanangu huwa ananiambia hizi kazi hazihitaji kabisa uwe intelligent.
 
Unajidanga sana kijana Makamba jr ni mmoja wa vijana wa hovyo kuwai kutokea enzi za JK walikuwa miungu watu wakifuta mtoto wa JK na nape Jr

Jecha alivyofuta uchanguzi zanzibar akaesema ccm hauwezi toka madarakani kwa njia ya karatasi
 
Ngoja tuone sasa iwapo tatizo la kukatikakatika kwa umeme litakoma.

Tutajua tatizo lilikuwa ni mtu au mfumo mzima?!

Niko pale nasikilizia mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…