Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mazuri yake ni yapi??
Mengi tu ikiwemo kukomesha matumizi ya mifuko ya Plastics nchini jambo ambalo ni la kihistoria na lilikuwa mzigo kwa Taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazuri yake ni yapi??
Wengi wanafikiri lile ni Tabasamu kumbe DharauKumbe ndio washenzi wa kiwango cha degree 3!
Hata yule mzee wenu anacheka cheka huku anawakaanga hamjifunzi kitu tu.
Hilo ni magufuli ndo alofanikisha Hana zuri lolote ndomana anakulipeni chawa km ww na waganga kiumsafishia njia ya kupata madaraka zaidMengi tu ikiwemo kukomesha matumizi ya mifuko ya Plastics nchini jambo ambalo ni la kihistoria na lilikuwa mzigo kwa Taifa.
ChawaChuki dhidi ya Jan Makamba inathibitisha msemo "hasidi hana sababu".
1. Hivi kukiwa na ukame mabwawa ya kufua umeme yakakosa maji na njaa ikaingia waziri wa nishahti na waziri wa kilimo walaumiwe?
2. Ikiwa ni kweli January aliiba mtihani zaidi ya miaka 30 iliyopita, apewe hukumu ya maisha asipate cheo chochote? Wewe unayekomalia kosa la wizi wa mtihani u mtakatifu kiasi gani?
3. Kuhusu level ya elimu hivi unajua katika mawaziri wakuu 57 wa UK hadi Oct.2022 zaidi ya 75% wamepitia vyuo vya Oxford na Cambridge, lakini Winston Churchill ndiye Waziri Mkuu aliyeokoa Uingereza katika vita Kuu ya pili-WWII? Huyu Churchill hakuwa na hata A level. "W.Churchill saved Britain in its darkest hour." Kwenye siasa elimu ni muhimu lakini kuna sifa nyingine muhimu zaidi.
4. Hivi waziri wa nishahti wajibu wake ni Tanesco tu, na awe anavunja bodi ya Tanesco kila umeme unapokatika katika?
Wagalatia ndo wanaomchukia January makambaJanuary Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Hiyo 5 BORA ilikuwa ni majina tu ya mfukoni ya kumsindiikza chaguo la Mkapa, Magufuli.January yupo kwenye Vita tangu aingie 5 bora Urais 2015.
Anaonekana ni threats kwa wenzake kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Ujao.
Wapo wanaotoa hoja kuwa hana Uwezo wa kuongoza ndiyo maana Wizara kadhaa alizoziongoza zimemshinda.
Kitu ambacho hawajui kuwa, Urais wa Tanzania sio kazi ya kubeba Zege kwamba inahitaji Ubaunsa.
Rais ni Taasisi, ndani ya Urais kuna Mainjinia, Madaktari, Wanasheria, Maafisa Mipango, Wachumi n.k
Ni suala la mifumo kuachwa kufanya kazi.
Then yeye anachotakiwa kuwa nacho ni Ujasiri tu wa kufanya maamuzi kama alivyokuwa Ben Mkapa ama JPM lakini kwa kufuata Sheria na Katiba ya Nchi.
Hata mwenye Kidato cha Nne anaweza kuongoza Nchi hii iwapo ataacha mifumo iwe inafanya kazi.
=======
Tatizo la Nchi hii sio January, Mwigulu ama Biteko
Kama CCM itaendelea kuongoza Nchi hii hata aje Mtume M.S.W ama Yesu Kristo wa Nazareth kuongoza kupitia Chama hicho basi nao hawatatufaa
Nina swali moja tu, Wakati wa awamu ya Tano Dr Kalemani aliwezaje kufanya umeme usikatike katike akiwa Waziri wa Nishati?Chuki dhidi ya Jan Makamba inathibitisha msemo "hasidi hana sababu".
1. Hivi kukiwa na ukame mabwawa ya kufua umeme yakakosa maji na njaa ikaingia waziri wa nishahti na waziri wa kilimo walaumiwe?
2. Ikiwa ni kweli January aliiba mtihani zaidi ya miaka 30 iliyopita, apewe hukumu ya maisha asipate cheo chochote? Wewe unayekomalia kosa la wizi wa mtihani u mtakatifu kiasi gani?
3. Kuhusu level ya elimu hivi unajua katika mawaziri wakuu 57 wa UK hadi Oct.2022 zaidi ya 75% wamepitia vyuo vya Oxford na Cambridge, lakini Winston Churchill ndiye Waziri Mkuu aliyeokoa Uingereza katika vita Kuu ya pili-WWII? Huyu Churchill hakuwa na hata A level. "W.Churchill saved Britain in its darkest hour." Kwenye siasa elimu ni muhimu lakini kuna sifa nyingine muhimu zaidi.
4. Hivi waziri wa nishahti wajibu wake ni Tanesco tu, na awe anavunja bodi ya Tanesco kila umeme unapokatika katika?
Anatembea na laana. Alitengeneza mchongo wa kuiba hela enzi zile mazingira Dkt Magu akiwa nje ya nchi, lilivyobumbuluka basi akafukuzwa. Hakujifunza huyu mwizi na alipopewa nafasi na Dkt Samia tena akaanza sherehe ya kujifanya eti wizara iliendeshwa kwa hasara na akajifanya kumleta maharage na matokeo yake akawa ameharibu kabisaJanuary Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Hilo lilikuwa ni agizo la Serikali na aliyetoa hiyo amri ni Waziri Mkuu Majaliwa.Labda tu kukujuza kidogo,palifanyika maandalizi makubwa sana ya wadau waliokuwa wanatumia mifuko ya plastick kama viwanda vya kutengeneza pombe za Spirits (viroba) na wadau wa uzalishaji wa mifuko hii ya kubebea bidhaa.Hilo zoezi liliratibiwa kwa ukaribu sana na Ofisi ya Waziri Mkuu.Makamba alishiriki sawa akiwa Waziri wa Mazingira lakini credit ya ukomeshaji wa mifuko ya plastick apewe Mh.Majaliwa.Mengi tu ikiwemo kukomesha matumizi ya mifuko ya Plastics nchini jambo ambalo ni la kihistoria na lilikuwa mzigo kwa Taifa.
Na mratibu mkuu wa zoezi alikuwa ni Waziri Mkuu Majaliwa.Hilo ni magufuli ndo alofanikisha Hana zuri lolote ndomana anakulipeni chawa km ww na waganga kiumsafishia njia ya kupata madaraka zaid
Huenda ilikuwa hivyoHiyo 5 BORA ilikuwa ni majina tu ya mfukoni ya kumsindiikza chaguo la Mkapa, Magufuli.
Wakaweka kijana mmoja (Makamba), wanawake wawili na Membe na Mhusika Magufuli.
HAYO MAJINA HAYAKUPATIKANA KWA KUPIGIWA kura.
Blah blah zilikuwa nyingi mno hapo mwanzoni anakabidhiwa Wizara.Kila siku ni kunanga namna awamu ya tano ilivyoiendesha Wizara na shirika la TANESCO.Kaongea wee mwisho uwongo wote ukamuishia akaikimbia na twitter.Mungu alivyo wa ajabu,akamuumbua na hali ikawa inazidi kuwa mbaya mpaka tumetumbukia kwenye mgao rasmi.Nasubiri nione na mteule wake Maharage kama bado ataendelea kuwa pale TANESCO.Anatembea na laana. Alitengeneza mchongo wa kuiba hela enzi zile mazingira Dkt Magu akiwa nje ya nchi, lilivyobumbuluka basi akafukuzwa. Hakujifunza huyu mwizi na alipopewa nafasi na Dkt Samia tena akaanza sherehe ya kujifanya eti wizara iliendeshwa kwa hasara na akajifanya kumleta maharage na matokeo yake akawa ameharibu kabisa
Kwanza suala la upatiikanaji umeme kwa uhakika ni muhimu mno kuwa jukumu la mtu mmoja. Linahusu uchumi na usalama wa nchi.Nina swali moja tu, Wakati wa awamu ya Tano Dr Kalemani aliwezaje kufanya umeme usikatike katike akiwa Waziri wa Nishati?
Hujajibu swali Mkuu,nimeuliza tu Kalemani na uongozi wa TANESCO uliokuwepo awamu ya Tano uliwezaje kufanikiwa upatikanaji wa umeme kwa uhakika.Kumbuka tunaongelea kipindi cha miaka 5?Kwanza suala la upatiikanaji umeme kwa uhakika ni muhimu mno kuwa jukumu la mtu mmoja. Linahusu uchumi na usalama wa nchi.
Siamini watendaji wa Tanesco walikuwa wanamhujumu Jan Makamba na taifa baada ya kuondoka Mhe. Kalemani.
Mwisho ndio kusema Kalemani angekuwepo mwaka 2006
Tz ilipokumbwa na tatizo kubwa la kihistoria la umeme (na kashfa ya Richmond)yeye angeweza kuliepusha?
Watanzania ni wivu na woga ndio unawatesa. Ila yule jamaa ana ngozi ngumu sana hana muda nao. Ndio kwanza amepewa wizara kubwa zaidi. Yule jamaa ana maono makubwa sana. Watanzania hawajapendaga mtu smart watamzushia mauwongo mengi.January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
MitataoniKampeni za mitataoni zinaendeshwa na genge moja linalotaka urais. Wanamuona January Makamba kama tishio. Hivyo wanataka kumdhoofisha kwa kuwaaminisha watu kuwa hafai. Na wengine wanafuata mkumbo bila kujua kilichoko nyuma ya hizo tuhuma.
January ni presidential material.