USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!
Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k
Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu
Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.
Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili