Chuki dhidi ya Rostam ni sababu ya asili yake, Watanzania ni wabaguzi kiasili na kujificha kinafiki

Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!

Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k

Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu

Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.

Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili

USSR
Maskini wa fikra ww
 
Cha muhimu CCM iendelee kutawala hadi pale watakapopatikana wapinzani wenye akili timamu. Hawa waliopo ni wapumbavu sana waliojaa chuki, tamaa na wivu.
Hawa wapo kutetea maslahi yao wanajua bila ccm hawali

USSR
 
Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!

Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k

Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu

Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.

Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili

USSR
Kwa hiyo watanzania wabaguzi kuliko waarabu na wahidi wanavyowabagua watanzania/ Waafrica? Serious?
 
Yaani ndugu zangu wabongo mna very short attention span; Hilo jina tumeanza kulisikia likihusishwa na ufisadi papa kwa takribani miongo miwili Sasa, kutoka escrow, dowans mpaka Richmond
Sahizi kisa mtu kapata buku 20 ya Kampeni unakuja kutupotezea muda humu kwa nyuzi za kidwanzi
Mkuu umenifanya nicheke peke yangu, Kwamba kisa kapata 20k ya kampeni ndio ameanza kuwa mjinga ghafla?
 
Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!

Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k

Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu

Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.

Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili

USSR
Wewe Kama umeamua kujiuza au kujipendekeza kwake usitulazimishe na sisi tuwe wajinga Kama wewe

Wahindi wangapi ni matajiri wakubwa Tanzania na hutuna mashaka nao

Mo ni billionea mkubwa ulishasikia skendo za kihuni Kama huyo unayemtetea kijinga

Bahresa na wengine je

Au na wewe uko kwenye mtandao wa kunyonya rasilimali zetu kwa mgongo wa Siasa
Ukifika Bei tulia
 
Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!

Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k

Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu

Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.

Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili

USSR
Na wewe upo nje ya nchi kufikisha ujumbe unaomhusu Gabachori?
 
Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!

Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k

Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu

Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.

Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili

USSR
Haka katabia kakishamba sana tunako na kapo siku nyingi sana Ukipata wasaa soma Kitabu Cha UJAMAA kilichoandikwa na Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere (uk.1).. kwa kurahisisha hapa alisema.." Mtu binafsi, au hata Taifa, utalitambua kama ni Taifa la Ujamaa kwa tabia yake. Akaendelea kusema " Ujamaa hauhusuani hata kidogo na mtu kuwa na mali au kutokuwa na mali. Akakazia kuwa " Masikini wanaweza kuwa na roho za kibepari- wanyonyaji wa binadamu wenzao.
 
Kuambiwa ndio nini ushahidi wa story za kijinga huo hauna maana

USSR
Amekiri mwenyewe ni sehemu ya mtandao
Kwanini alijivua gamba

Inaonyesha ni mwepesi Sana kujiuza kwa watu wenye hela
kama ni mwanamke Basi utakuwa inatumika Sanaa na na wenye pesa sio ?
 
Cha muhimu CCM iendelee kutawala hadi pale watakapopatikana wapinzani wenye akili timamu. Hawa waliopo ni wapumbavu sana waliojaa chuki, tamaa na wivu.
Hii Ina uhusiono Gani na mada?
Wewe na nyumbu mna tofauti Gani kwenye kufikiri mkuu ??
Ni swali tu
 
Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!

Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k

Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu

Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.

Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili

USSR

Kaombe airtime Azam media

Kule ndio wanataka watu wa Aina yako
 
Umewahi kuona chawa wowote wa mwarabu mwenye akili ?
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uchawa na ujinga ndio maana hata sasa machawa kama huyu mleta mada ameweka VPN ili kupata nafasi ya kuingia JF kutetea ufisadi.

Kama TCRA nao wangetaka kubalance story wangeagiza Azam TV wamhoji Polepole sio kumpa airtime fisadi kwenda kujisafisha halafu JF inaaangushiwa zigo .
 
Kila Wewe Kama umeamua kujiuza au kujipendekeza kwake usitulazimishe na sisi tuwe wajinga Kama wewe

Wahindi wangapi ni matajiri wakubwa Tanzania na hutuna mashaka nao

Mo ni billionea mkubwa ulishasikia skendo za kihuni Kama huyo unayemtetea kijinga

Bahresa na wengine je

Au na wewe uko kwenye mtandao wa kunyonya rasilimali zetu kwa mgongo wa Siasa
Ukifika Bei tulia
Kila anayewakosoa mnasema amefika bei amenunuliwa zamani mlisema Rizone sasa ni Abdul mnaishi kwa uongo uongo tu ili mpate pesa za wazungu

USSR
 
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uchawa na ujinga ndio maana hata sasa machawa kama huyu mleta mada ameweka VPN ili kupata nafasi ya kuingia JF kutetea ufisadi.

Kama TCRA nao wangetaka kubalance story wangeagiza Azam TV wamhoji Polepole sio kumpa airtime fisadi kwenda kujisafisha halafu JF inaaangushiwa zigo .
Nani kakwambia nipo Tanzania ? Chawa mamako wewe ukipingwa unatoa matusi na kuita watu chawa

USSR
 
Back
Top Bottom