Punguza shobo.Hii Ina uhusiono Gani na mada?
Wewe na nyumbu mna tofauti Gani kwenye kufikiri mkuu ??
Ni swali tu
Kwa hivyo unatofautiana na R Mengi aliyesema Rostam ni kati ya mafisadi wakubwa watano.Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!
Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k
Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu
Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.
Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili
USSR
Mengi alizidiwa akili Rostam hakuna low IQ kama Mengi wewe huyu wa kuzinguliwa na chup za Bongo fleva ndio umamlinganisha na Rostam upp IQKwa hivyo unatofautiana na R Mengi aliyesema Rostam ni kati ya mafisadi wakubwa watano.
Amekutuma au amekuagiza uandike huu
Upotoshaji? Amekulipa au chama mtandao ndio wanakulipa?
Amekulipa bei gani kuandika utumbo wote huuUsiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!
Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k
Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu
Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.
Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili
USSR
mtu sio mtanzania halafu anatuzodoa sisis watanzania!Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!
Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k
Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu
Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.
Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili
USSR
RA anakulipa vizuri au ni mapenzi yako tu kwake?Mengi alizidiwa akili Rostam hakuna low IQ kama Mengi wewe huyu wa kuzinguliwa na chup za Bongo fleva ndio umamlinganisha na Rostam upp IQ
USSR
Ok upo nchi gani hiyo ambayo sio banana republic ?Nani kakwambia nipo Tanzania ?
Mama yangu hayuko JF hapa jadiliana na mimi , ulivyo zuzu mwenye low self esteem na EI unafikiri ningemjadili mama yako hapa pia ?Chawa mamako
Kama sio chawa basi ni nani?wewe ukipingwa unatoa matusi na kuita watu chawa
USSR
Kwa haya uliyoandika ...kama ataendelea kubishana na wewe nakushauri usimjibu.....ila kwa sababu huyu kashakula hela ya mwanaume atajitutumua tena...Ok upo nchi gani hiyo ambayo sio banana republic ?
Maana banana republic ndio madikteta wanafungia vyombo vya habari ili wafiche dili zao.
Mama yangu hayuko JF hapa jadiliana na mimi , ulivyo zuzu mwenye low self esteem na EI unafikiri ningemjadili mama yako hapa pia ?
Kama sio chawa basi ni nani?
Ukisoma barua ya TCRA inasema JF imechapisha habari isiyo na mizania nami nakuuliza.
Wapi JF walipewa nafasi ya kuelezea picha walizitoa wapi?
Picha zimepigwa ikulu hadi zimetoka na kuzagaa mitandaoni nani wa kwanza kuhusika kama sio ikulu huko?
Tukija suala la pili la fisadi Rostam yeye kapewa "RIGHT OF REPLY " katika suala la kashfa zake ila Polepole hajapewa hivyo basi kulikuwa hakuna haja ya kutoa zuio la siku 90. Bali ilitakiwa Tiddo Mhando amtafute Polepole atoe maelezo yake.
Sote ni mashuhuda habari za anayoongea Polepole hazichapishwi na media zilizofungwa na mrengo wa serikali ila makanusho ya habari za Polepole wanakuwa wa kwanza kuchapisha.
Nikukumbushe tu nchi zilizo na mifumo imara hadi sasa ingekuwa imeundwa independent commisio of inquiry kuhusu sakata la mgodi huo na watu wangekuwa wameleta petition tayari na kama Rostam ni msafi angetoka msafi ila sio kuzima mjadala bado ukiwa mbichi kwa kisingizio cha habari isiyo na mizania.
Nasubiri matusi mengine kutoka kwako chawa ila jitahidi yawe mapya zaidi ila mimi nitakutandika kwa bakora za hoja na kukukumbusha tu ufisadi hauna rangi , dini wala kabila bali ni tabia ya mtu .
Baada ya kushindwa kuona Jamiiforums ikiacha kuwa hewani sasa mmeamua kuja na viporojo vyenu mermereeh , acheni kutafuta kichaka kifa_la hata awe nyani lazima ahusishwe na anachostahili .Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!
Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k
Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu
Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.
Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili
USSR
Jitazame sana dogo ,nauwezo wakukulipa mara 10 ya mshahara wako huku nikitabasamu.Maskini wanatabu sana
USSR
Hawa vibaka wanatumwa kuja kufifisha ukweli juu ya ufisadi wanaoufanya wakipewa buku 7 basi akili zote wanaziweka rehani.Kwa haya uliyoandika ...kama ataendelea kubishana na wewe nakushauri usimjibu.....ila kwa sababu huyu kashakula hela ya mwanaume atajitutumua tena...
Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakufurumua. Mafala wenzio huko hukoUsiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!
Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k
Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu
Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.
Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili
USSR
Argumentum ad hominem hazitokusaidia kwenye huu mjadala , halafu mimi sina dada!Unalala kwa dadako na kuchukia waliojipata
USSR