hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,013
- 10,034
Mpira unafurahia sasa ulitaka rostam asijibu acha ujinga wewe
USSR
Sasa hoja zake zikija hapa watu wakijibu jf inafungiwa
Mpira unafurahia sasa ulitaka rostam asijibu acha ujinga wewe
USSR
Swali ni rahisiPunguza shobo.
Watu wenye akili Kama za kwako ni mzigo mzito kwa Taifa hata kuliko deni la Taifa la trillion 100Kila anayewakosoa mnasema amefika bei amenunuliwa zamani mlisema Rizone sasa ni Abdul mnaishi kwa uongo uongo tu ili mpate pesa za wazungu
USS
Huyo jamaa ni mjanja janja tofautisha na MTU mwenye akili hawezi kujipendekeza kwa wanasiasa ili apate fursa za maslahi binafsi ya biasharaMengi alizidiwa akili Rostam hakuna low IQ kama Mengi wewe huyu wa kuzinguliwa na chup za Bongo fleva ndio umamlinganisha na Rostam upp IQ
US
Hapana. Hata huku vibaka mnaruhusiwaUnataka wahuni wawe wazazi wako tu
USSR
Marehemu Mengi alimtaja Rostam Aziz kuwa mmoja wa mafisadi papa mwaka 2008/09Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!
Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k
Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu
Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.
Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili
USSR
Acha kuleta ujinga wewe. Rost tamu anahusishwa kwenye karibu kila dili kubwa la rushwa na ufisadi; wewe unakuja hapa kutuletea ujinga ujinga? Mbona Bakhresa hajasakamwa kwa huo ujinga unaoueleza? Tumia akili yako vizuri.Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu
ROSATAM ni jambazi kuwadi na pepoUsiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!
Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k
Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu kama upo karibu na chama tawala usemwa ni pesa za chama mbona wao huishia kupewa baiskeli tu
Kama upo karibu na Rais watasema sio zako ni za Rais.
Huko mitandaoni wengi wanaomsema Rais Samia kisa ni mpemba, Mzanzibari na asili ya Omani as if wao hawana asili
USSR
Tueleze zile shehena ya nyara na mabunduki zilikuwa za niniUsiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!