Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

Aisee... Mwamba kafunguka
 
Ni bora sana kaonesha rangi yake kamili...kuliko angeendelea kuishi kinafiki..
 
Alikaa kimya mkaanza kuuliza Mbona yupo Kimya
KATOA NENO mmeanza kumsema mbona hamna shukurani nyie?
 
Safari hii CCM wamepatikana, wanapambana wenyewe kwa wenyewe utadhani CDM na PT.
 
Kumbe wewe ni mbunge unayewawakilisha wakulima, kwahiyo kuuza maparachichi uchina matatizo ya wananchi yamekwisha, asante.
Juma Juma hebu tuwekee namba yako ya simu tuone tunavyoweza kukuenzi.
 
Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona nchi inaendelea au inarudi nyuma? Twende mbele turudi nyuma,magufuli hakuwa malaika ila alifanya makubwa

Alifanya makubwa au alishurutisha kuonyesha kafanya makubwa? Kama makubwa makubwa ni kunyamazisha wakosoaji bora asifanye hayo makubwa. Ifahamike hakuna lolote alifanya kwa mshahara wake.
 
Magufuli is dead for good
Hatatembea tena kwenye sura ya hii dunia.
Hutaki kajizike pembeni take chatto
 
Unataka kila Mtanzania awe Chawa na Kiroboto wa CCM?
 
Timu Samia shikilieni hapo hapo na nyie timu mwenda zake jaribuni kukaza kidogo

Mchezo bado wa wazi kabisa, wacha ball litembee.
Nitake radhi mkuu, yaani kweli ndio unanishusha hadhi kiasi hicho kuniita mimi team sa100 na timu mwendazake

Sijawahi kuwa ccm maisha yangu yote

By the way ccm tuwaache waendelee kupigana vita yao, sisi tunachochea kuni ugali uive tule
 
Hahaha
Jaman tujifunze kuheshim mawazo ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…