Umekariri.Lakini hata saa mbovu kuna wakati huwa inasema ukweli katika saa 24 ?!
Kuna saa mbovu ambazo kamwe hasisemi ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekariri.Lakini hata saa mbovu kuna wakati huwa inasema ukweli katika saa 24 ?!
Kuna haja ya kujadili kipindi akiwa kwenye nafasi au tujadili hoja na hawa wakulima wanapate haki yao bila kunyonywa?Bashiri kwa sasa amerudia kuwa mjamaa. Anawahimiza wakulima waungane dhidi ya watawala wanyonyaji.
Haya anayotamka asingeweza kuyatamka enzi akiwa madhabahuni mwa awamu ya 5. Huyu mtu ni kigeugeu sana
Hahaaaa mkuu umetisha.baelezee wamekalia kuwa negative kwa Kila kinachofanywa na selikali ya Mama Samia.Wewe ni mkulima?
Heka ya mpunga inahitaji mbolea mifuko mingapi?
Heka moja ya mahindi inahitaji mbolea mifuko mingapi?.
Heka moja ya mpunga inatoa kiasi gani cha mavuno?
Heka moja ya mahindi inatoa kiasi gani cha mavuno?
Kipindi mbole ikiwa Tsh 70000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi likiuzwa Tsh 35000,faida ya mkulima ilikuwa Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?
Sasa mbolea ni Tsh 140000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi linauzwa Tsh 90000,faida ya mkulima ni Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?
Naomba majibu.
Asanteee mkuu unanikosha kwa majibu yako murua kwa hawa wajane wa jiweInaendelea kwa spidi kubwa. Ajira sasa hivi zimejaa na zimemwagwa Kama karanga wakati kipindi Cha jpm tulikuwa tunakejeliwa tu kwamba tujiajiri kupitia umachinga. Hata shule tu ulikuwaukienda kuomba ajira enzi zile za jpm unaambia hata waliopo wanapu guzwa kwa hiyo no room. Sasa hivi mashule yote yanatangaza ajira ushindwe mwenyewe
Akili ndogo kujadili akili kubwa za kiwango cha PhD ni upuuzi tu. Hizi tabia za uchawa na ukasuku kusifia kila kitu mmeziokota wapi?.Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa mara ya kwanza maparachichi kuuzwa moja kwa moja nchini China.
Sasa hivi vyote unataka wakulima wasipongeze yanayofanyika? Hizi ni chuki za wazi kwa Mbunge Bashiru Aally kwa serikali ya awamu ya 6.
Tunakumbuka katika serikali ya awamu ya 5 chini ya Hayati Magufuli huyu huyu Bashiru kila alipokuwa anahutubia hakuacha kusifia mazuri ya Magufuli ila leo nini kimemkumba Bashiru Ally?
Acha wakulima waone na kusifia mazuri ya awamu ya 6 ambayo hapo nyuma hayajawahi kufanyika.
View attachment 2420819
#MamaAnaupigaMwingi
Siyo chuki bali njaa humfunza mtu,yale yale tuliyokuwa tunalalamikia yamemkuta sasa,ajitahidi kujua kuwa ulimwengu ni ule ule ila sisi ni wapitaji,hivyo tunamsihi aje tuungane ili tuweze kuiondoa CCM ambayo inataka kufanya nchi hii kuwa mali ya baadhi ya familia za viongozi.Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa mara ya kwanza maparachichi kuuzwa moja kwa moja nchini China.
Sasa hivi vyote unataka wakulima wasipongeze yanayofanyika? Hizi ni chuki za wazi kwa Mbunge Bashiru Aally kwa serikali ya awamu ya 6.
Tunakumbuka katika serikali ya awamu ya 5 chini ya Hayati Magufuli huyu huyu Bashiru kila alipokuwa anahutubia hakuacha kusifia mazuri ya Magufuli ila leo nini kimemkumba Bashiru Ally?
Acha wakulima waone na kusifia mazuri ya awamu ya 6 ambayo hapo nyuma hayajawahi kufanyika.
View attachment 2420819
#MamaAnaupigaMwingi
CCM NI ILE ILEWewe kwa akili yako ya kawaida unaona nchi inaendelea au inarudi nyuma? Twende mbele turudi nyuma,magufuli hakuwa malaika ila alifanya makubwa
Umekariri.
Kuna saa mbovu ambazo kamwe hasisemi ukweli.
![]()
Umekariri.
Kuna saa mbovu ambazo kamwe hasisemi ukweli.
![]()
Nipo wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora na ninauza mahindi hayo mimi mwenyewe niliyovuna mwezi wa sita.Hiyo bei ya sh 90,000 ni farm gate price? Ili analysis iwe na mantiki tolea mfano wilaya moja na utupe bei ya mkulima, alichovuna na bei ya, mbolea kwa vipindi viwili tofauti
Kaandika kwa jazba na kupaniki.
Umejibu maswali niliyouliza?Huna unachojua, hivyo kaa utulie.
Kwa akili Yako finyu unataka kusema mbolea zimepanda bei baada ya mahindi kupanda bei?
Unadhani wakati mfuko wa mbolea ulipokuwa unauzwa 55,000 mahindi bei ilikuwa haifiki 90k?
Acheni kuwa mbasifia vitu vya kijinga
Kumbuka kipindi hicho mchele kaukufika 3000,mafuta lita haikufika 7000,unga kilo haikifika 2300.Hahaaaa mkuu umetisha.baelezee wamekalia kuwa negative kwa Kila kinachofanywa na selikali ya Mama Samia.
Watu maisha yao ni ya mjini na wala kilimo hawakijui,lakini midomo mirefu kumuongelea mkulima ambaye ameumizwa na ukosefu wa masoko na bei ndogo.Leo yeye aliyekuwa anafurahia kununua kg 1 ya mchele 1000,hakujishughulisha na kujua mimi mkulima niliuza hiyo kg 1 kwa Tsh ngapi hadi imemfikia kwa 1000!?.Hahaaaa mkuu umetisha.baelezee wamekalia kuwa negative kwa Kila kinachofanywa na selikali ya Mama Samia.
Ufipa st ndio ukipinga jambo unafukuzwa
Hivyo vyote vinalimwa,unaonaje ukiingia shamba ukajilimia na wewe!.Kumbuka kipindi hicho mchele kaukufika 3000,mafuta lita haikufika 7000,unga kilo haikifika 2300.
Maisha yalikuwa chep sana kwa watanzania walio wengi.
#MaendeleoHayanaChama
Eti bei za mbolea zimeshuka onaongea ukiwa wapi kwanza?Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa mara ya kwanza maparachichi kuuzwa moja kwa moja nchini China.
Sasa hivi vyote unataka wakulima wasipongeze yanayofanyika? Hizi ni chuki za wazi kwa Mbunge Bashiru Aally kwa serikali ya awamu ya 6.
Tunakumbuka katika serikali ya awamu ya 5 chini ya Hayati Magufuli huyu huyu Bashiru kila alipokuwa anahutubia hakuacha kusifia mazuri ya Magufuli ila leo nini kimemkumba Bashiru Ally?
Acha wakulima waone na kusifia mazuri ya awamu ya 6 ambayo hapo nyuma hayajawahi kufanyika.
View attachment 2420819
#MamaAnaupigaMwingi
Cool down man, huyu ni CHAWA per se!Hii nchi Ina wajinga wengi sana. Nimkukima Gani ambae amenufaika na hii serikali?
Kama hujyi kitu usikimbilie kuleta Uzi hapa.
Nitakuuliza maswali mawili na uninibu Kwa kutumia vielelezo,
1. Kati ya awamu ya 5 na ya6 mi awamu gani mbolea ilipanda Bei Kwa asilimia 100+?
2. Nitajie beinya parachi nchini wakati wa awamu ya 5 na ya 6
Swali la nyongeza; u ajua sasa hivi korosho inanunu, iwa shilingi ngapi kutoka Kwa mkulima baada ya kututangazia somo ka mareka I kimepatikan?