Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

Yaani kwa akili za hawa machawa wa Samia kila kitu kwao vigelegele! Stupid leadership never happen in our country!
Bashir yupo sahihi.Ni ukweli ulio wazi Rais aliyepo ni mjinga na hana uwezo na anaipeleka nchi shimoni.Wajinga,walamba asali na chawa wachache hawawezi kulitambua hilo
 
Hii nchi Ina wajinga wengi sana. Nimkukima Gani ambae amenufaika na hii serikali?

Kama hujyi kitu usikimbilie kuleta Uzi hapa.
Nitakuuliza maswali mawili na uninibu Kwa kutumia vielelezo,

1. Kati ya awamu ya 5 na ya6 mi awamu gani mbolea ilipanda Bei Kwa asilimia 100+?

2. Nitajie beinya parachi nchini wakati wa awamu ya 5 na ya 6

Swali la nyongeza; u ajua sasa hivi korosho inanunu, iwa shilingi ngapi kutoka Kwa mkulima baada ya kututangazia somo ka mareka I kimepatikan?
Una hoja ila uandishi wako n changamoto sana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nitake radhi mkuu, yaani kweli ndio unanishusha hadhi kiasi hicho kuniita mimi team sa100 na timu mwendazake

Sijawahi kuwa ccm maisha yangu yote

By the way ccm tuwaache waendelee kupigana vita yao, sisi tunachochea kuni ugali uive tule
Sijamaanisha hivyo, bali nilikusudia hizi timu zinazopambana wajaribu kukaza kidogo maama bado mda upo.
 
Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona nchi inaendelea au inarudi nyuma? Twende mbele turudi nyuma,magufuli hakuwa malaika ila alifanya makubwa
Inaendelea kwa spidi kubwa. Ajira sasa hivi zimejaa na zimemwagwa Kama karanga wakati kipindi Cha jpm tulikuwa tunakejeliwa tu kwamba tujiajiri kupitia umachinga. Hata shule tu ulikuwaukienda kuomba ajira enzi zile za jpm unaambia hata waliopo wanapu guzwa kwa hiyo no room. Sasa hivi mashule yote yanatangaza ajira ushindwe mwenyewe
 
Msipomweleza Hangaya ukweli nyie chawa mkabakia kuwaona akina Bashiru wabaya mtakuwa mnamkaanga kwa mafuta yake mwenyewe
 
Wewe nae unakulaga maharagwe ya wapi?

stop nonsense.

hili liserikal lenu ni libaya sana limeshajifia Bashiru na wenginep wanaolikosoa wako sahihi.
 
Bashiru hakuwa mwanasiasa bali mchambuzi na mkosoaji wa serikali. CCM chini ya JPM kwa kumuhofia mkatisha na kumwingiza kwenye siasa na leo hii kinyago mlicho kichonga kinawaticha.
Kwa upande mwingine anawaambia ukweli. Hakuna kitu kinachokera kama kusifu na kuabudu. Hata pale ambapo ni haki yenu. "Utasikia Rais katoa mamilioni kwajili ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa." Kwanini isitumike lugha nyingine kama "Rais kaidhinisha kiasi Fulani kwa kazi fulani". Hakuna hata senti inayopunguzwa kwenye mshahara wake.

Kwa upande mwingine Bunge, Mabaraza ya Halmashauri hayana kazi kwani wanaweza kuidhinisha fedha kwajili ya ujenzi wa zahanati Rais akazipeleka kwenye sherehe za Muungano.
 
makubwa ya kuuwa watu, makubwa ya kupora hela za watu, makubwa ya kumpiga lissu risasi, kifupi magufuli alikuwa mbwa kabisa na shetani
Hizi hasira zote ni baada ya Magu kukubutua na kukuachia kilema bila kukuachia urithi
 
Hizi hasira zote ni baada ya Magu kukubutua na kukuachia kilema bila kukuachia urithi
Mwache huyo ndo wimbo wake wakiambiwa serkali imewashinda kuendesha wanalalama kama machizi! Uwezo mdogo wa Rais lazima usemwe! Jana ulimuona mkurugenzi wa TANESCO mtu kilaza asiyejua anachofanya !
 
Hii nchi Ina wajinga wengi sana. Nimkukima Gani ambae amenufaika na hii serikali?

Kama hujyi kitu usikimbilie kuleta Uzi hapa.
Nitakuuliza maswali mawili na uninibu Kwa kutumia vielelezo,

1. Kati ya awamu ya 5 na ya6 mi awamu gani mbolea ilipanda Bei Kwa asilimia 100+?

2. Nitajie beinya parachi nchini wakati wa awamu ya 5 na ya 6

Swali la nyongeza; u ajua sasa hivi korosho inanunu, iwa shilingi ngapi kutoka Kwa mkulima baada ya kututangazia somo ka mareka I kimepatikan?
Wewe ni mkulima?
Heka ya mpunga inahitaji mbolea mifuko mingapi?
Heka moja ya mahindi inahitaji mbolea mifuko mingapi?.
Heka moja ya mpunga inatoa kiasi gani cha mavuno?
Heka moja ya mahindi inatoa kiasi gani cha mavuno?

Kipindi mbole ikiwa Tsh 70000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi likiuzwa Tsh 35000,faida ya mkulima ilikuwa Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?

Sasa mbolea ni Tsh 140000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi linauzwa Tsh 90000,faida ya mkulima ni Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?

Naomba majibu.
 
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa mara ya kwanza maparachichi kuuzwa moja kwa moja nchini China.

Sasa hivi vyote unataka wakulima wasipongeze yanayofanyika? Hizi ni chuki za wazi kwa Mbunge Bashiru Aally kwa serikali ya awamu ya 6.

Tunakumbuka katika serikali ya awamu ya 5 chini ya Hayati Magufuli huyu huyu Bashiru kila alipokuwa anahutubia hakuacha kusifia mazuri ya Magufuli ila leo nini kimemkumba Bashiru Ally?

Acha wakulima waone na kusifia mazuri ya awamu ya 6 ambayo hapo nyuma hayajawahi kufanyika.
View attachment 2420819

#MamaAnaupigaMwingi
Ni kawaida kwa kila anayeikosoa serikali kuonekana ana chuki kwa serikali..!! Na ndiyo maana wanakamatwa lakini wasifiaji hakuna anayekamatwa
 
Kupingana na Kukosoana ndio njia sahihi ya kukijenga Chama
Wenzio katika chama huwa hawajui hicho ulichokiandika ! Wao wamefundishwa kwamba anayekosoa ni adui mkubwa wa chama na anapaswa kushughulikiwa ama kwa kupigwa au kwa kutukanwa na kudhalilishwa !! Hizo ndio falsafa zilizopo kwa miaka ya hivi karibuni. !! Hatar sana !! Think tank za zamani kwisha habari yake. !!
 
Kumbe wewe ni mbunge unayewawakilisha wakulima, kwahiyo kuuza maparachichi uchina matatizo ya wananchi yamekwisha, asante.
Juma Juma hebu tuwekee namba yako ya simu tuone tunavyoweza kukuenzi.
Wewe ni mkulima?
Heka ya mpunga inahitaji mbolea mifuko mingapi?
Heka moja ya mahindi inahitaji mbolea mifuko mingapi?.
Heka moja ya mpunga inatoa kiasi gani cha mavuno?
Heka moja ya mahindi inatoa kiasi gani cha mavuno?

Kipindi mbole ikiwa Tsh 70000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi likiuzwa Tsh 35000,faida ya mkulima ilikuwa Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?

Sasa mbolea ni Tsh 140000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi linauzwa Tsh 90000,faida ya mkulima ni Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?

Naomba majibu.
 
Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona nchi inaendelea au inarudi nyuma? Twende mbele turudi nyuma,magufuli hakuwa malaika ila alifanya makubwa
Bei ya mazao ilishuka hadi wakulima, ambao ndio wengi nchini kuliko jamii yoyote, wakaacha kulima baadhi ya mazao ya biashara
 
Wewe ni mkulima?
Heka ya mpunga inahitaji mbolea mifuko mingapi?
Heka moja ya mahindi inahitaji mbolea mifuko mingapi?.
Heka moja ya mpunga inatoa kiasi gani cha mavuno?
Heka moja ya mahindi inatoa kiasi gani cha mavuno?

Kipindi mbole ikiwa Tsh 70000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi likiuzwa Tsh 35000,faida ya mkulima ilikuwa Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?

Sasa mbolea ni Tsh 140000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi linauzwa Tsh 90000,faida ya mkulima ni Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?

Naomba majibu.
Hiyo bei ya sh 90,000 ni farm gate price? Ili analysis iwe na mantiki tolea mfano wilaya moja na utupe bei ya mkulima, alichovuna na bei ya, mbolea kwa vipindi viwili tofauti
 
Ukishakuwa nje ya dimba
Unaona makosa kibao wakati
Wa mchezo,ukiwa ndani huoni
Kitu

Ova
 
Wewe ni mkulima?
Heka ya mpunga inahitaji mbolea mifuko mingapi?
Heka moja ya mahindi inahitaji mbolea mifuko mingapi?.
Heka moja ya mpunga inatoa kiasi gani cha mavuno?
Heka moja ya mahindi inatoa kiasi gani cha mavuno?

Kipindi mbole ikiwa Tsh 70000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi likiuzwa Tsh 35000,faida ya mkulima ilikuwa Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?

Sasa mbolea ni Tsh 140000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi linauzwa Tsh 90000,faida ya mkulima ni Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?

Naomba majibu.
Huna unachojua, hivyo kaa utulie.
Kwa akili Yako finyu unataka kusema mbolea zimepanda bei baada ya mahindi kupanda bei?

Unadhani wakati mfuko wa mbolea ulipokuwa unauzwa 55,000 mahindi bei ilikuwa haifiki 90k?
Acheni kuwa mbasifia vitu vya kijinga
 
Back
Top Bottom