Bashir yupo sahihi.Ni ukweli ulio wazi Rais aliyepo ni mjinga na hana uwezo na anaipeleka nchi shimoni.Wajinga,walamba asali na chawa wachache hawawezi kulitambua hilo
Una hoja ila uandishi wako n changamoto sanaHii nchi Ina wajinga wengi sana. Nimkukima Gani ambae amenufaika na hii serikali?
Kama hujyi kitu usikimbilie kuleta Uzi hapa.
Nitakuuliza maswali mawili na uninibu Kwa kutumia vielelezo,
1. Kati ya awamu ya 5 na ya6 mi awamu gani mbolea ilipanda Bei Kwa asilimia 100+?
2. Nitajie beinya parachi nchini wakati wa awamu ya 5 na ya 6
Swali la nyongeza; u ajua sasa hivi korosho inanunu, iwa shilingi ngapi kutoka Kwa mkulima baada ya kututangazia somo ka mareka I kimepatikan?
Sijamaanisha hivyo, bali nilikusudia hizi timu zinazopambana wajaribu kukaza kidogo maama bado mda upo.Nitake radhi mkuu, yaani kweli ndio unanishusha hadhi kiasi hicho kuniita mimi team sa100 na timu mwendazake
Sijawahi kuwa ccm maisha yangu yote
By the way ccm tuwaache waendelee kupigana vita yao, sisi tunachochea kuni ugali uive tule
Inaendelea kwa spidi kubwa. Ajira sasa hivi zimejaa na zimemwagwa Kama karanga wakati kipindi Cha jpm tulikuwa tunakejeliwa tu kwamba tujiajiri kupitia umachinga. Hata shule tu ulikuwaukienda kuomba ajira enzi zile za jpm unaambia hata waliopo wanapu guzwa kwa hiyo no room. Sasa hivi mashule yote yanatangaza ajira ushindwe mwenyeweWewe kwa akili yako ya kawaida unaona nchi inaendelea au inarudi nyuma? Twende mbele turudi nyuma,magufuli hakuwa malaika ila alifanya makubwa
2020 hapakuwa na uchaguzi bali uchafuzi2020 Rais Samia 84% na Tundu Lisu 13%
2025 Rais Samia 98% na Tundu Lisu 1% ( Utabiri)
Leo hii kinyago mlicho kichonga wenyewe kinawatisha??????!!!!....... ajabu hii.Huyu ni popo!
Kwa upande mwingine anawaambia ukweli. Hakuna kitu kinachokera kama kusifu na kuabudu. Hata pale ambapo ni haki yenu. "Utasikia Rais katoa mamilioni kwajili ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa." Kwanini isitumike lugha nyingine kama "Rais kaidhinisha kiasi Fulani kwa kazi fulani". Hakuna hata senti inayopunguzwa kwenye mshahara wake.Bashiru hakuwa mwanasiasa bali mchambuzi na mkosoaji wa serikali. CCM chini ya JPM kwa kumuhofia mkatisha na kumwingiza kwenye siasa na leo hii kinyago mlicho kichonga kinawaticha.
Hizi hasira zote ni baada ya Magu kukubutua na kukuachia kilema bila kukuachia urithimakubwa ya kuuwa watu, makubwa ya kupora hela za watu, makubwa ya kumpiga lissu risasi, kifupi magufuli alikuwa mbwa kabisa na shetani
Mwache huyo ndo wimbo wake wakiambiwa serkali imewashinda kuendesha wanalalama kama machizi! Uwezo mdogo wa Rais lazima usemwe! Jana ulimuona mkurugenzi wa TANESCO mtu kilaza asiyejua anachofanya !Hizi hasira zote ni baada ya Magu kukubutua na kukuachia kilema bila kukuachia urithi
Wewe ni mkulima?Hii nchi Ina wajinga wengi sana. Nimkukima Gani ambae amenufaika na hii serikali?
Kama hujyi kitu usikimbilie kuleta Uzi hapa.
Nitakuuliza maswali mawili na uninibu Kwa kutumia vielelezo,
1. Kati ya awamu ya 5 na ya6 mi awamu gani mbolea ilipanda Bei Kwa asilimia 100+?
2. Nitajie beinya parachi nchini wakati wa awamu ya 5 na ya 6
Swali la nyongeza; u ajua sasa hivi korosho inanunu, iwa shilingi ngapi kutoka Kwa mkulima baada ya kututangazia somo ka mareka I kimepatikan?
Ni kawaida kwa kila anayeikosoa serikali kuonekana ana chuki kwa serikali..!! Na ndiyo maana wanakamatwa lakini wasifiaji hakuna anayekamatwaSerikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa mara ya kwanza maparachichi kuuzwa moja kwa moja nchini China.
Sasa hivi vyote unataka wakulima wasipongeze yanayofanyika? Hizi ni chuki za wazi kwa Mbunge Bashiru Aally kwa serikali ya awamu ya 6.
Tunakumbuka katika serikali ya awamu ya 5 chini ya Hayati Magufuli huyu huyu Bashiru kila alipokuwa anahutubia hakuacha kusifia mazuri ya Magufuli ila leo nini kimemkumba Bashiru Ally?
Acha wakulima waone na kusifia mazuri ya awamu ya 6 ambayo hapo nyuma hayajawahi kufanyika.
View attachment 2420819
#MamaAnaupigaMwingi
Wenzio katika chama huwa hawajui hicho ulichokiandika ! Wao wamefundishwa kwamba anayekosoa ni adui mkubwa wa chama na anapaswa kushughulikiwa ama kwa kupigwa au kwa kutukanwa na kudhalilishwa !! Hizo ndio falsafa zilizopo kwa miaka ya hivi karibuni. !! Hatar sana !! Think tank za zamani kwisha habari yake. !!Kupingana na Kukosoana ndio njia sahihi ya kukijenga Chama
Wewe ni mkulima?Kumbe wewe ni mbunge unayewawakilisha wakulima, kwahiyo kuuza maparachichi uchina matatizo ya wananchi yamekwisha, asante.
Juma Juma hebu tuwekee namba yako ya simu tuone tunavyoweza kukuenzi.
Bei ya mazao ilishuka hadi wakulima, ambao ndio wengi nchini kuliko jamii yoyote, wakaacha kulima baadhi ya mazao ya biasharaWewe kwa akili yako ya kawaida unaona nchi inaendelea au inarudi nyuma? Twende mbele turudi nyuma,magufuli hakuwa malaika ila alifanya makubwa
Hiyo bei ya sh 90,000 ni farm gate price? Ili analysis iwe na mantiki tolea mfano wilaya moja na utupe bei ya mkulima, alichovuna na bei ya, mbolea kwa vipindi viwili tofautiWewe ni mkulima?
Heka ya mpunga inahitaji mbolea mifuko mingapi?
Heka moja ya mahindi inahitaji mbolea mifuko mingapi?.
Heka moja ya mpunga inatoa kiasi gani cha mavuno?
Heka moja ya mahindi inatoa kiasi gani cha mavuno?
Kipindi mbole ikiwa Tsh 70000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi likiuzwa Tsh 35000,faida ya mkulima ilikuwa Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?
Sasa mbolea ni Tsh 140000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi linauzwa Tsh 90000,faida ya mkulima ni Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?
Naomba majibu.
Huna unachojua, hivyo kaa utulie.Wewe ni mkulima?
Heka ya mpunga inahitaji mbolea mifuko mingapi?
Heka moja ya mahindi inahitaji mbolea mifuko mingapi?.
Heka moja ya mpunga inatoa kiasi gani cha mavuno?
Heka moja ya mahindi inatoa kiasi gani cha mavuno?
Kipindi mbole ikiwa Tsh 70000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi likiuzwa Tsh 35000,faida ya mkulima ilikuwa Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?
Sasa mbolea ni Tsh 140000 na bei ya gunia moja la debe 7 la mahindi linauzwa Tsh 90000,faida ya mkulima ni Tsh ngapi kwa mauzo ya heka?
Naomba majibu.