Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Ujinga ni tatizo kwa taifa.Kweli kabisa hasa ukizingatia na idadi ya wagonjwa wa Afya ya akili kwa Watanzania imeongezeka, hawa wakiletewa hata papai na embe wakaambiwa na mgonjwa wa Afya ya akili mwenzao kagundua corona kwenye embe wanapiga makofi na wanamuita mwanasayansi wa Africa. Tunaacha vipi kumpenda chuma kiboko wa mabeberu na mwenye kumpa kila mtanzania Noah🤣🤣??
Mapapai na maembe hayawezi kuwa na virusi vya korona?
Unajua principle ya upimaji wa korona kwa kutumia RT-PCR?