Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Nabii gani wa mchongo kama huyo ambaye aliwabana wananchi maisha yakawa magumu akabana wapinzani na kujifanya mzalendo halafu yeye kajilimbikizia mali nyingi akiwa madarakaniKabla unabii kutimia nabii siku zote huonekana tapeli bado muda mchache kabla ya wanaomkosoa Hayati Magufuli kumuona nabii
nenda pale Chato ukaone lile hotel la ghorofa 6 na hifadhi ya wanyama vyote unaambiwa ni mali ya mzee hayati rais wa wanyonge!