Chuki ya January Makamba kwa Hayati Magufuli sasa iko dhahiri

Baada ya kuusoma huu uzi nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣...

Yaani nimeamini kuna watu Magufuli ataendelea kuwatesa mpaka wanaingia kaburini.... 😅😅😅😅

Huyu mwamba apumuzike kwa amani kwakweli maana kuna watu wanateseka nae huku mpaka wanatupa raha 🤣🤣🤣
 
Ila Makamba Jr. Yupo sahihi DIKTETA MAGUFULI ni wakulaaniwa Kila dakika. Chuki dhidi yake Inazidi ukigundua athari zake zitachukua Zaid ya miaka 15 kuisha.
Uko sahihi Magu anahitaji kujadiliwa kitaifa na tumsamehe ila hizi lugha za kurahisisha maovu yake ,wanaosema alikuwa sijui shujaa wanatakiwa wakamatwe walawitiwe kama waliolawitiwa kwa amri yake ikiwemo msanii aliekimbilia marekani ,auawe mwana wao wa kumzaa mmoja kama azor,akwilina ,wanyanganywe nusu ya utajir kama mbowe na manji kisha tukihakiki hayo tunaenda kumzika upya kwa mbwembwe kuliko nyerere,maana magu polisi badala walinde dola ihamie kwa mama samia vyema walikuwa wanaZurura baa kulazimisha huzuni ,wakati enzi za nyerere polisi tulikuwa tunalia nao
 
Mkuu nilikwambia uniunganishe kwa Waziri Marope nami niwe napata za K Vant lakini umenipotezea kama sio marafiki kweli? Sio vizuri!!!
 
Baada ya kuusoma huu uzi nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣...

Yaani nimeamini kuna watu Magufuli ataendelea kuwatesa mpaka wanaingia kaburini.... 😅😅😅😅

Huyu mwamba apumuzike kwa amani kwakweli maana kuna watu wanateseka nae huku mpaka wanatupa raha 🤣🤣🤣
Unajidanganya.Wasome watu vizuri.
 
Uko sahihi Magu anahitaji kujadiliwa kitaifa na tumsamehe ila hizi lugha za kurahisisha maovu yake ,wanaosema alikuwa sijui shujaa wanatakiwa wakamatwe walawitiwe kama waliolawitiwa kwa amri yake ikiwemo msanii aliekimbilia marekani ,auawe mwana wao wa kumzaa mmoja kama azor,akwilina ,wanyanganywe nusu ya utajir kama mbowe na manji kisha tukihakiki hayo tunaenda kumzika upya kwa mbwembwe kuliko nyerere,maana magu polisi badala walinde dola ihamie kwa mama samia vyema walikuwa wanaZurura baa kulazimisha huzuni ,wakati enzi za nyerere polisi tulikuwa tunalia nao
Mkuu umeandika kwa feelings kali sana. Ninakuelewa
 
Huyu mwamba apumuzike kwa amani kwakweli maana kuna watu wanateseka nae huku mpaka wanatupa raha 🤣🤣🤣
Huyu ngedere hawezi kupumzika kwa amani kamwe. Nina uhakika hata huko kuzimu atakufa tena kwa mara ya pili.

Eti unamuita mwamba, Magufuli angekuwa mwamba kweli asingekufa kwa kamasi za corona
 
CHUKI YA MAKAMBA KWA HAYATI MAGUFULI IKO WAZIWAZI.

Pamoja na kwamba hayati Magufuli alitangaza hadharani kwamba amewasamehe lakini kwa mambo yanavyoenda sasa hivi ni dhahiri Makamba na Nape waliomba msamaha kinafiki na walipokea msamaha kinafiki pia.

Makamba alipoteuliwa tu uwaziri wa nishati kazi ya kwanza ilikuwa ni kwenda kufukuza ma electrical engeneers wote pale Tanesco na alipoulizwa kwa nini unafukuza watendaji wote ? Akajibu hataki kufanya kazi na watu walioteuliwa na Magufuli!!, leo ni miaka miwili imepita lakini kila tatizo linapoibuka pale Tanesco , Makamba husema sababu ni Magufuli alilazimisha mashine kuwaka bila kufanyia service!

Chuki ya Makamba kwa Magufuli imesababisha miradi yote ya Tanesco kuzorota kwa kasi, mgao wa umeme, usambazaji umeme vijijini ni kama haupo kila kukicha ni visingizio vya kila aina.
Huyu ni kigeugeu alishawahi kumnanga Kikwete wakati wa uwaziri wake kwa Magufuli
 
images00.jpg
 
CHUKI YA MAKAMBA KWA HAYATI MAGUFULI IKO WAZIWAZI.

Pamoja na kwamba hayati Magufuli alitangaza hadharani kwamba amewasamehe lakini kwa mambo yanavyoenda sasa hivi ni dhahiri Makamba na Nape waliomba msamaha kinafiki na walipokea msamaha kinafiki pia.

Makamba alipoteuliwa tu uwaziri wa nishati kazi ya kwanza ilikuwa ni kwenda kufukuza ma electrical engeneers wote pale Tanesco na alipoulizwa kwa nini unafukuza watendaji wote ? Akajibu hataki kufanya kazi na watu walioteuliwa na Magufuli!!, leo ni miaka miwili imepita lakini kila tatizo linapoibuka pale Tanesco , Makamba husema sababu ni Magufuli alilazimisha mashine kuwaka bila kufanyia service!

Chuki ya Makamba kwa Magufuli imesababisha miradi yote ya Tanesco kuzorota kwa kasi, mgao wa umeme, usambazaji umeme vijijini ni kama haupo kila kukicha ni visingizio vya kila aina.

BODI YA TANESCO ILIYOUNDWA NA MAKAMBA

"Taarifa kwa umma ya leo Jumamosi Septemba 25, 2021 iliyotolewa na Waziri imewataja wajumbe hao wa bodi mpya ya TANESCO ni
Mkurugenzi Maharage Chande,
Nehemia Mchechu, Zawadia Nanyaro, Lawrence Mafuru, Eng Cosmas Masawe, Abubakar Bakhresa, Eng. Abdallah Hashim, Balozi Mwanaidi Maajar, Christopher Mwita Gachuma."

BODI YA TANESCO ILIYOVUNJWA NA MAKAMBA
Mkurugenzi Eng Tito Mwinuka,
"Balozi Dk James Nzagi (alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO iliyomaliza muda wake) na Dkt. John Kihamba (Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Saam - DUCE).

Wengine ni Dk Lugano Wilson (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uhandisi na Mkuu wa Teknolojia za Nishati - TIRDO), John Kulwa (Mkuu wa Idara ya Ukaguzi Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya na Sayansi Shirikishi - MUHAS) na Denis Munumbu (Mchunguzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - TAKUKURU).
Dk Gemma Modu (Mkurugenzi NACTE), Mathew Kirama (Mkurugenzi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma) na Gilay Shamika (Mjumbe katika bodi iliyopita)"

#Makamba Na Bodi yako ya Kubumba,yenye wajumbe wenye kutia shaka,kuanzia "kitaaluma" mpaka "kimaadili."
Wewe ni Call Man?
 
Wapinzani wa Senegal siyo wasaliti wa nchi kama hawa wa Tanzania.

# Lisu tutashitakiwa MIGA tukidai kodi kwenye madini yetu.

# tukichimba bwawa la umeme mvua haitanyesha tena na miti millioni 3 itakatwa hivyo tutatengwa kimataifa.
 
Back
Top Bottom