Chuki ya January Makamba kwa Hayati Magufuli sasa iko dhahiri

Kabla unabii kutimia nabii siku zote huonekana tapeli bado muda mchache kabla ya wanaomkosoa Hayati Magufuli kumuona nabii
Nabii gani wa mchongo kama huyo ambaye aliwabana wananchi maisha yakawa magumu akabana wapinzani na kujifanya mzalendo halafu yeye kajilimbikizia mali nyingi akiwa madarakani
nenda pale Chato ukaone lile hotel la ghorofa 6 na hifadhi ya wanyama vyote unaambiwa ni mali ya mzee hayati rais wa wanyonge!
 
Pesa wakati wa Magufuli ilikuwa na thamani kubwa kulinganisha na sasa hata kama hakuongeza mshahara.

Miaka mitano Mfumuko wa bei ulikuwa chini sana.

Suala la umeme tunalichukulia poa sana, lakini linaumiza sana wajasiliamali wanaotegemea umeme kwenye kazi zao.

Wanaoimba uchumi unakua kwenye awamu hii ni wapambe kama chawa wengine
 
Kajinga sana kale kajamaa na ndiyo maana kalikua kanahusishwa na ile acc ya KIGOGO, na yamkini ndiyo kenyewe
 
Huwezi fanya revenge kwa MFU. Kama alikupiga kama ngoma we tulia tu😝😝
 
CCM wote ni paka tu. Ila Makamba Jr. Yupo sahihi DIKTETA MAGUFULI ni wakulaaniwa Kila dakika. Chuki dhidi yake Inazidi ukigundua athari zake zitachukua Zaid ya miaka 15 kuisha.
yuko sahihi sababu na wewe ni wale wale wa kundi la mamba.
 
Uchumi kuzuia kuajiri vijana kwa miaka sita!
Uchumi kujaza wamachinga mabarabarani!
Mshamba yule ndio unasema eti kuna alichofanya kuinua uchumi!?
Kama mjomba Magu angewapa/kuwakopesha mitaji yenye mashiko wajasilimali hasa wamachinga milioni 2 tu katika nyanja za ukulima,ufugaji na uvuvi,badala ya kununua wapinzani na kuzamisha pesa Dodoma.Pale angekuwa amecheza kama PELE.Wangetengeneza ajira zinazooneka milioni 4.au zaidi na kuongeza kipato baadhi ya makundi ya vijana.
 
Kuanzisha dini au thehebu sku izi ni bei nafuu na ni nafuu sana kuanzisha ebu niwape wazo wana Mwendazake
Why msifuatilie vibali muanzishe kanisa la Jiwe assembly of god maana mkiwa na kanisa itakua rahis kuubili na kutunza legacy yake
 
Kuanzisha dini au thehebu sku izi ni bei nafuu na ni nafuu sana kuanzisha ebu niwape wazo wana Mwendazake
Why msifuatilie vibali muanzishe kanisa la Jiwe assembly of god maana mkiwa na kanisa itakua rahis kuubili na kutunza legacy yake
Good Idea.
Tena wakilianzishia Mbeya Litakua haraka sana mana huko hakuna kanisa linalokosa wafuasi
 
Inabidi wayafanye hivi sasa ambayo Magufuli hakufanya tuwaone wao wanaume kweli.

Ila hakuna wanachofanya zaidi ya kulia lia tu.

Ooh Magufuli this ooh Magufuli that. A bunch of incompetent fools.
 
CCM wote ni paka tu. Ila Makamba Jr. Yupo sahihi DIKTETA MAGUFULI ni wakulaaniwa Kila dakika. Chuki dhidi yake Inazidi ukigundua athari zake zitachukua Zaid ya miaka 15 kuisha.
Madhara gani uliyapata BOSS? Ambayo yatakuchukua miaka 15? Be specific.
 
hata ningekuwa mimi nigefukuza mamluki wote, maana mamluki ndani ya utendaji ndio hukwamisha dhamira njema ya kufikia maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…