Chuki ya January Makamba kwa Hayati Magufuli sasa iko dhahiri

Baada ya kuusoma huu uzi nimecheka sana 🀣🀣🀣🀣...

Yaani nimeamini kuna watu Magufuli ataendelea kuwatesa mpaka wanaingia kaburini.... πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Huyu mwamba apumuzike kwa amani kwakweli maana kuna watu wanateseka nae huku mpaka wanatupa raha 🀣🀣🀣
 
Ila Makamba Jr. Yupo sahihi DIKTETA MAGUFULI ni wakulaaniwa Kila dakika. Chuki dhidi yake Inazidi ukigundua athari zake zitachukua Zaid ya miaka 15 kuisha.
Uko sahihi Magu anahitaji kujadiliwa kitaifa na tumsamehe ila hizi lugha za kurahisisha maovu yake ,wanaosema alikuwa sijui shujaa wanatakiwa wakamatwe walawitiwe kama waliolawitiwa kwa amri yake ikiwemo msanii aliekimbilia marekani ,auawe mwana wao wa kumzaa mmoja kama azor,akwilina ,wanyanganywe nusu ya utajir kama mbowe na manji kisha tukihakiki hayo tunaenda kumzika upya kwa mbwembwe kuliko nyerere,maana magu polisi badala walinde dola ihamie kwa mama samia vyema walikuwa wanaZurura baa kulazimisha huzuni ,wakati enzi za nyerere polisi tulikuwa tunalia nao
 
Ila Makamba Jr. Yupo sahihi DIKTETA MAGUFULI ni wakulaaniwa Kila dakika. Chuki dhidi yake Inazidi ukigundua athari zake zitachukua Zaid ya miaka 15 kuisha.
Mkuu nilikwambia uniunganishe kwa Waziri Marope nami niwe napata za K Vant lakini umenipotezea kama sio marafiki kweli? Sio vizuri!!!
 
Unajidanganya.Wasome watu vizuri.
 
Mkuu umeandika kwa feelings kali sana. Ninakuelewa
 
Huyu mwamba apumuzike kwa amani kwakweli maana kuna watu wanateseka nae huku mpaka wanatupa raha 🀣🀣🀣
Huyu ngedere hawezi kupumzika kwa amani kamwe. Nina uhakika hata huko kuzimu atakufa tena kwa mara ya pili.

Eti unamuita mwamba, Magufuli angekuwa mwamba kweli asingekufa kwa kamasi za corona
 
Huyu ni kigeugeu alishawahi kumnanga Kikwete wakati wa uwaziri wake kwa Magufuli
 
Wewe ni Call Man?
 
Yeye ndiyo ameangukia pua
 
Wapinzani wa Senegal siyo wasaliti wa nchi kama hawa wa Tanzania.

# Lisu tutashitakiwa MIGA tukidai kodi kwenye madini yetu.

# tukichimba bwawa la umeme mvua haitanyesha tena na miti millioni 3 itakatwa hivyo tutatengwa kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…