Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 8,118
- 13,547
Kwa hiyo kung'oa bango lililoandikwa V. WANYAMA STREET ndio suluhisho la watanzania wanaofukuzwa huko Namanga?
Jiongeze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kung'oa bango lililoandikwa V. WANYAMA STREET ndio suluhisho la watanzania wanaofukuzwa huko Namanga?
Unauliza?Ziwe au zisiwe za akhera si siri kuwa mahakama za Kenya zinaheshimiwa na wakenya na zina uhuru wa kufanya kazi zao bila uoga wowote!Wakenya wakitaka haki,mahakamani ndo wamefika palipo.Unategemea Meya aende mahakamani kupinga maamuzi ya sisiemu wakati majaji wenyewe kazi zao walipewa na dereva wa lori!Mahakama tz badoo saaana!Za kenya ndio za akhera sio?
Mahakama huhamia eneo la tukio!!Kwa hiyo ukimshitaki mahakamani Bashite utamwambia hakimu aende Ilala boma akamtafute kwa kuita kwa sauti kubwa "Bashite zero brain"? Vijana wa bavicha mnayo kazi wallahi.
Hatujafikia huko yani watu waogope kuwaalika viongozi katika shughuli zao kisa wanatokea chama fulani. Hili litaturudisha nyuma tena sana.Clouds wajiangalie sana, wasikubali kujiingiza katika vita ya kisiasa, wao kama waratibu wa Ndondo cup ndio walitakiwa wafanye hili chini ya usamamizi wa serikali ya mtaa na kata, kuwakaribisha kina Jacob ndio kumechafua hali ya hewa. Kuna uwezekano mkubwa Ndondo cup ikazidi kupoteza umaarufu wake.
We vipi,ulitarajia nini?Tuwape shavu la pili?Nyie ndo mliwafukuza wakenya upande wenu pale Namnga.Wakazi wa Kikenya pale Namanga waliwaacha wake na watoto zao upande wa pili wa mpaka!Hadi biashara walizoekea wake zao!Wala hatukulialia.Tulia sindano ikuingie vizuri jombaa!Pia kuna Mwai Kibaki St. kang'oeini bango hilo pia,mnangoja nini?Wakati mnajishebedua kumpa Wanyama mtaa huko border ya Namanga upande wa Kenya watanzania wamefukuzwa kwa sababu za ajabu tu.
Bado hujaeleza Bashite ni nani hadi sasa. Unatapatapa tu. Umebaki oh Ilala boma, sijui nenda kapige kelele, oh sijui nini. Upuuzi mtupu.Mahakama huhamia eneo la tukio!!
Tupe mrejesho ushaenda ilala boma?
Utabaki unazunguka hivyo hivyo hadi unazeeka.Mi mgeni daisalam, we nenda tu pale ilala boma kwani mboni mbishi hivi?
Mahakama za Tanzania vivo hivyo. Sasa wewe kama hutaki nenda kajinyonge na huyo meya wako. Kama huyo meya anataka haki aende mahakamani na sio vinginevyo. Umesinikia wewe nyang'au?...mahakama za Kenya zinaheshimiwa na wakenya na zina uhuru wa kufanya kazi zao bila uoga wowote! Wakenya wakitaka haki,mahakamani...
Huyo jamaa mbona kama ana kijungu
Huyo pichani ndio mkuu wa mkoa!?
Singles (singo) huwa zinazikika sana redioni halafu zinafifia. Kwa hivyo acha zisikike tu. Zitapotea na maisha yataendelea.Naona mnazidi mpa Promo uyo Wanyama at a free cost.
Ndo single inayotamba kwa sasa plus ile ya wanafunzi mimba mashuleni
Tz hamjambo kwa izi single