gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Hoja ni kwa nini leo?Labda kaona anazeeka anakaribia kufa asiposema sasa hatasema milele.
Ni haki yake ya kikatiba.
Jadili hoja. Usimjadili mtoa hoja.
Kumjadili mtoa hoja badala ya hoja ni ad hominem attack, logical fallacy, mara nyingi hufanywa na watu wasio na hoja.
Usiishi kwa ulinganifu,leo ni leo na jana ni jana matukio ya awamu ya tano acha yawe ya awamu hiyo na tuliyonayo acha yawe ya sasa na kila mmoja apate hukumu inayomstahili.Kuna kipi kinaenda shaghala baghala leo na hakikufanyika awamu ya tano?
Kwa nini isiwe leo?Hoja ni kwa nini leo?
Waryoba kaonya, na Msekwa naye ana hasira na naniZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Mnatakiwa kujibu hoja zake na siyo kutafuta visingizio kenge maji nyinyi.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Zile enguzi ziliendaje mororoo au mnemba?Kuna kipi kinaenda shaghala baghala leo na hakikufanyika awamu ya tano?
Ukilaza ni kipaji ww unacho, hongeraZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Wapapase pua wasilete mambo yasiyo na kichwa wala miguu kwenye mambo ya .msingiKama hauna chakuandika utulie tuu, huyo mzee alibishana na watu wakali kama Nyerere na Sokoine alitoka hadharani na kukemea kipindi cha Magufuli alieogopwa hadi na wale wanajikuta chama cha mboga mboga ni mali yao hadi akatoa kauli kwamba wastaafu waache kuwashwa washwa ndio aje kuchukia serikali hii mbovu ya hovyo kuwahi kutokea hapa bongo bahati mbaya 🤔🤔
Hao shida yao wakisha sajiliwa wanapokwa ubongo.Kwan huyo mzee kakosea nn mbona anaongea vitu vpo waz vinaoneka uitaj kuwa na D MBILI
Hizi ni siasa za majitaka mkuu.Kwan huyo mzee kakosea nn mbona anaongea vitu vpo waz vinaoneka uitaj kuwa na D MBILI
Nyie ndio mnasababisha Watz tuonekane wajinga kwa hizi mada za kiwaki namna hii.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Shida ccm hampend kuambiwa ukwel mtu akiwachana anakuwa adui yenuVyeti feki mnajenga HOJA kidhaifu sana!
Halafu chuki zenyewe hazina maana, anaongea uongo, makombora ya kutunga, tuhuma dhidi ya si za kweli mana hali ni nzuri tu ya kidemokrasia!Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Uliomba ukanyimwa?Butiku anajihami, hataki auditing ya Mwalimu Nyerere Foundation ambayo kajifanya Mwenyekiti wa kudumu. Skolashipu zote za china na urusi anawapa wazanaki na ndugu zake
Chuki NI nini?Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Mm Si CCM Bali mtoa mada ndiye kada anayepuyanga.Shida ccm hampend kuambiwa ukwel mtu akiwachana anakuwa adui yenu
Awamu ya pili alipokuwa PM? Misimamo yake back then?Awamu ya kwanza ni ya mjomba wake,awamu tatu,nne,tano nilikua mtu mzima tu
Na kwanini isiwe leo?Hoja ni kwa nini leo?